Saif Gaddaffi auwawa katika shambulizi la NATO

halafu kule syria nako assad anafanya mauaji kama ya ghadaffi, lakini viongozi wa serikali za israel na saudi arabia wamewaambia wababe wa dunia kwamba hawataki jamaa aondolewe madarakani kwa sababu anaweza kuingia mwingine akawa kichaa zaidi na si ajabu miaka ya baadaye akaanzisha kasheshe/varangati na moja kati ya nchi hizo hivyo kule hakuna mashambulizi ya nato kama libya! Sasa kama huu sio undumila kuwili wa wababe wa dunia sijui tuite ni kitu gani. Na hiyo un nayo mhhhhh!


huko ndiko tunapitishia mafuta yetu atukugusi mpwa kabsaaaaaaaaaaaaaaaa ata aje malaika hao ndio marekani
 
Back
Top Bottom