Kagemro
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 1,433
- 633
Mara baada ya taarika kusema kuwa mtoto wa Gadafi ameuwawa na Nato,wengi wetu wamefurahi
Binafsi nayalaani kama ambavyo nililaani uvamizi wa kihuni,kwa yeyote anayeitakia mema Africa hawezi kushabikia uvamizi na mauaji haya ya mtoto wa Ghadafi na raia wa Libya,kimsingi Nchi za magharibi hazina mapenzi ya kweli na Africa,wanachotaka ni mafuta ya Libya na rasilimali nyingine,kama Ghadafi angeondolewa na nguvu ya umma basi nisingekuwa na neno,hili la kuruhusu uvamizi,na kuuwawa kwa nchi huru kamwe sitalikubali.Historia itatuhukumu
unamjua Gadafi vizuri na utawala wake?natamani hata yeye wamuuwe kwani Tanzania tutapona'wtu hwa wa mtandao wa akaida wanafanya madhambi mengi sana.