Saif Gaddaffi auwawa katika shambulizi la NATO

tatizo la hao wanaingilia hawaeleweki (US, British, France )
Kwa jinsi sisi tunavyoona wanaingilia sehemu
ambazo kuna kitu wanaki protect kitu ambacho
wao wana benefit nacho.. kama kweli wagekuwa
wanatumia hizo nguvu zao za ki military kila panapo
hitajika basi wangepata saport za nchi nyingi sana....

Ina maana hawana sapoti ya kutosha? Ni vipi basi azimio la umoja wa mataifa kwenda Libya lilipatikana?
Kwa kura za maruhani ama za nchi wanachama?
 
Gddafi naona anayeyataka yote haya-kwa nini asingetumia ustaarabu wa kuachia madaraka-na kuwapawatu wengine then wafanye national reconcilliation kiliko yeye kubakia hapo madarakani-la sivyo nae watamuua-maana naamini ndio target
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu.
 
wao pia kama wasinge mvamia si idadi ya vifo ingepungua?

Unataka kuniambia idadi ya watu waliokufa iraq wakati wa utawala wa sadam ni zaidi ya idadi ya waliokufa baada jamaa kuvamia?
Arsene Wenger hatutofautiani kwa hoja ila tunachoona ni madhara makubwa mbele kuliko surrender ya Ghadaf kwa kuwa inajulikana kuwa vita ikiendelea kamwe hatoshinda,sasa kama matokeo yameshajulikana ni bora kukubali yeshe
Sidhani kama hata support ya walibya kwa kiongozi wao kama itasaidia maana hao nato wana target na lazima itimie,kumbuka vita hii inapiganiwa ktk ardhi ya walibya na wala si ardhi za hizo allien forces so wanaoumia ni wananchi wasio na hatia
 
This is not acceptable, particularly after he has asked cease fire and was willing to negociate. Sasa kumuua mtoto wake na wajukuu wake wanaprotect Libyan gani? Huu ni uuwaji wa wazi kabisa, nasikitika watu wanashangilia!

Inauma saana na inasikitisha uelewa mdogo watu walionao katika hili swala, wengi wanashabikia tu! Gadaffi hata aongee au anegotiate namna gani hawatamwachia sababu wanajua kabisa kua anajua nia yao ya kuwepo hapo nchini Libya, na mzalendo wa kweli yeyote anapoharibiwa inchi yake hutafuta njia yoyote kuweza nusuru nchi yake hata kama kula nao meza moja kama end result ataipata anayotaka. Na wao hawataki kumpa hio nafasi.
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu.

Mimi kiongozi yoyote anayetumia mabavu, hila na ujanja wowote kubaki madarakani na hasa baada ya kuwepo madarakani kwa muda mrefu namchukia sana tena sana. Kama kuna kundi la watu wanaonyesha kukuchoka ni bora kutumia busara badala ya kutumia ulaghai eti ni mamluki. Hapa Africa tuna mfano mbaya sana wa akina Mugabe na sasa nahisi Museveni anaelekea huko. Ni kweli Gadaffi ameyataka haya yote. Kwani kuna kiongozi aliyekuwa anapendwa na ambaye bado anapendwa kama Mandela? Mbona aling,atuka kama kupendwa ndio kigezo?

Hatutaki yamfike ya Saddam, wala ya Gabo jinsi walivyoumbuka sababu ya kug'ang'ania mdaraka. Tunataka kiongozi anayeweza kutengeneza viongozi wa baadaye kwa kuwarithisha hekima .
 
Mpaka wamalize Libya Assad atakuwa keshaua wangapi? Eq na wewe bana. Just call them for what they are....

Kwani Jumuia za Kiarabu zimechukua hatua gani? sasa hivi kuna migogoro kama minne au mitano sasa kila mgogoro mnataka NATO tu.
 
Syria pamekaa vibaya sana, kuna HIZBULLAH (Lebanon) na HAMMAS (Palestine)...watavuruga eneo zima na Israel haitokuwa salama kabisa. Eneo hilo linatawaliwa na Shi'a na wananguvu sana-sana tofauti na Egypt & Libya, hebu mtazameni Muqtada al-Sadr pale Iraq jinsi anavyoogopwa na serikali ya Nour al- Malik (wote hawa ni Shi'a).
 
There si no doubt that NATO were in a mission to cut off the head. Ila siamini kuwa NATO imeua wajuu wa Gadaffi na mtoto wake kwani vita ya propaganda Gadaffi ni mtaalam sana. Na kwenye stori hii anaonekana kuwapata wengi sana. Just ask yourself, hivi Gadaffi hajui kuwa yeye ni target?, na kwa nini akae sehemu moja na familia yake?, Hata waandashi waliooneshwa bombing site wanakubali kuwa ni vigumu kuthibitisha habari hizi. Inawezakana kabisa Gadaffi has been eliminated but do you think they will announce it to the Public?. Tusiwe wepesi wa kuwa swayed by propaganda from Gadaffi. Time will tell.

Mkuu hata mimi nimejiuliza sana inawezekanaje mtaalamu wa mapigano kama Gadaffi aiyache familia yake ikae kizembezembe hivyo huku akijua kua yeye ni Target?Mi nashawishika kuamini kua hizi ni mbinu za kivita ili NATO ianze kusomeka kivingine napengine apate watetezi au na yeye ajaribu kuchomoa kombola kubwakubwa kwa kisingizio cha kuuliwa kwa lovely son wake.
Mbona siku mingi tu Gadaffi alishasema kamawakimzingua anataka kulipua hadi visima vya mafuta na tayari familia yake ilisha ondoka injini humo sasa huyo mtotowake alikua kama ndondocha au? Bravo NATO
 
Kwanini wapige nyumba za kuishi kwani nazo zina fly? mwanzoni walisema Tanks za Gaddafi zina fly.

Wapuuzi sana NATO. Wao wangetuambia tu wanaenda vitani kumpiga Gadaffi, na sio eti ku enforce no flying zone. Mbona wahasi wa joseph Kone hawawasaidii? Ila nako wataingia siku si nyingi si kumepatikana mafuta.
 
Kwanini wapige nyumba za kuishi kwani nazo zina fly? mwanzoni walisema Tanks za Gaddafi zina fly.

Wapuuzi sana NATO. Wao wangetuambia tu wanaenda vitani kumpiga Gadaffi, na sio eti ku enforce no flying zone. Mbona wahasi wa joseph Kone hawawasaidii? Ila nako
wataingia siku si nyingi si kumepatikana mafuta.
Tatizo la hawa madikteta wengi wanatumia makazi yao kama command centre sometimes.....sasa kama kuna mtu kutoka kwenye hayo makazi alitoa amri kwa pro gaddafi soldiers wawashambulie rebels, ilo tendo linafanya hiyo nyumba iwe target.
 
Kwanini wapige nyumba za kuishi kwani nazo zina fly? mwanzoni walisema Tanks za Gaddafi zina fly.

Wapuuzi sana NATO. Wao wangetuambia tu wanaenda vitani kumpiga Gadaffi, na sio eti ku enforce no flying zone. Mbona wahasi wa joseph Kone hawawasaidii? Ila nako wataingia siku si nyingi si kumepatikana mafuta.

Wakuambie wewe ili iweje? Wao wanajua mission yao sawa na khadafi anavyojua ya kwake. Just sit back and wait for the end result ya hii kitu
 
Huyo kijana ndie aliyepewa internship US kwenye taasisi nyeti na kukatisha mkataba baada ya kusikia Libya inashambuliwa. Akaamua kurudi kwao kuongoza mapambano. Wamarekani walitukana sana kuwa inakuwaje unampa kijana kama huyo internship wakati wamarekani kibao ni jobless. Na wakasema hivyo ndivyo Marekani inavyotrain magaidi yenyewe alafu inaanza kucomplain. Think he was working in a certain firm dealing with something sensitive in US.
 
Back
Top Bottom