Saidieni_Jamaa amekula kuku,vifaranga na mayai !!!!

Pomole

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
257
7
Kuna jamaa mmoja amezidi sana kuchakachua,sijui ana pepo la ngono au amechanjia!!!Hivi kweli ni halali kuchakachua watu watatu wa familia moja???Jamaa alianza kutembea na dada mmoja(rika lake)-baadae wakaachana.Baada ya muda akaanza kutoka na mdogo wa huyo dada(wa tumbo moja) baadae wakamwagana!sasa majuzi kashuhudiwa (nami miongoni mwao) anatembea na mama mzazi wa hao wadada wawili.Nina amini asilimia 80 mama anafahamu mwanae (mdada wa kwanza) alitembea na huyo kijana sasa sijui kwa nini nae kamkubali.Mama huyo ana kazi yake na alitengana na mumewe ila anaishi na hao mabinti kwenye nyumba yake.Hii ni nini laana au vipi??Tumsaidiaje huyu jamaa aache hiyo tabia.Kuna watu watadhani ni hadithi ya kutunga ila hii imetokea laivu.Kabla sijamvaa kumpa counselling naomba maoni yenu​
 
waambie wte, mama, wana na huyo jamaa yako waende wakapate k'kombe kwa babu! Watakuw na matatzo ya akil. Shame on them!
 
nenda kawape kanseling hao mabinti+ mama yao....huyo jamaa muache kama alivyo
 
Kuna jamaa mmoja amezidi sana kuchakachua,sijui ana pepo la ngono au amechanjia!!!Hivi kweli ni halali kuchakachua watu watatu wa familia moja???Jamaa alianza kutembea na dada mmoja(rika lake)-baadae wakaachana.Baada ya muda akaanza kutoka na mdogo wa huyo dada(wa tumbo moja) baadae wakamwagana!sasa majuzi kashuhudiwa (nami miongoni mwao) anatembea na mama mzazi wa hao wadada wawili.Nina amini asilimia 80 mama anafahamu mwanae (mdada wa kwanza) alitembea na huyo kijana sasa sijui kwa nini nae kamkubali.Mama huyo ana kazi yake na alitengana na mumewe ila anaishi na hao mabinti kwenye nyumba yake.Hii ni nini laana au vipi??Tumsaidiaje huyu jamaa aache hiyo tabia.Kuna watu watadhani ni hadithi ya kutunga ila hii imetokea laivu.Kabla sijamvaa kumpa counselling naomba maoni yenu​

Anapepo la ngono, mpeleke kwenye maombi
 
Hapa tatizo liko kwa huyo mama na wanae... kama counceling wape hao watatu mama na wanae!!!
 
Hapa tatizo liko kwa huyo mama na wanae... kama counceling wape hao watatu mama na wanae!!!
ikibidi hawa watatu nitawapa counselling ila naona huyo jamaa ndio mlengwa hasa kwa kuwa hatujui huenda kuna mahali pengine anachakachua au anaplani kuchakachua.Ni hatari sana na aibu kubwa
 
nenda kawape kanseling hao mabinti+ mama yao....huyo jamaa muache kama alivyo
Nadhani ni kuwapa counselling wote kwa kuwa huyu sasa ndio mbaya anaweza kutembea na familia nyingine...pia!!!
 
Huyu bwana yafaa kufyekelea mbali hako ka goi goi kake na huyo mama asemwe tu pamoja na bintize wasisababishe Mungu aturudishe kwenye maangamizi ya tatu! Shame upon em!
 
Mie naona ni bora uwahoji wote watatu kwa wakati tofauti... huyu jamaa inawezekana ana kitu si chakawaida. Yawezekana wanasimuliana jinsi jamaa alivo mtaalam. Kuna jamaa mmasai alikula wanafunzi karibu wote darasani na baada ya kufuatilia. Wahusika walisema kwamba walishawishiwa na rafiki zao wa mwanzo kwamba jamaa mzigo wake una kama kabichwa kadogo. Yaani wamasai wanapofanya tairi ubakiza sehemu fulani ikininingia na wadada wanasema ni tamu sana. So naona ni bora uwaulize vizuri na wanaweza wakawa na majibu. Inawezekana hata huyo mama alisha wahi sikia binti zake wakimuongelea huyo jamaa. Nani asiye penza vizuri? na kwa ushauri wa bure kama ni wewe ni mwanamke kuwa makini unaweza ukaishia kuliwa pia..... alafu ukawa kama Kunguru enzi za nuhu aliye tumwa na akurudi mpaka alipo tumwa Njiwa.
 
ujue watu wenye sifa za aina hii wanawake wengi huwa wanapenda kujaribu waone kile ambacho wengine wanapata.
 
ni wanawake wajnga 2 ndo wanaoweza kujarb ujnga km huu! Sa km ni kujarb c watamalza wanaume wte cz am sure wanaume hawafanan sa watajarb mpk wp? At da end of da day ujkute wachakachua na ur dady!! Yes na yeye c mwnaume waende wakajarb na kwake! Ujinga tu!
ujue watu wenye sifa za aina hii wanawake wengi huwa wanapenda kujaribu waone kile ambacho wengine wanapata.
 
<p>
<div align="left">Kuna jamaa mmoja amezidi sana kuchakachua,sijui ana pepo la ngono au amechanjia!!!Hivi kweli ni halali kuchakachua watu watatu wa familia moja???Jamaa alianza kutembea na dada mmoja(rika lake)-baadae wakaachana.Baada ya muda akaanza kutoka na mdogo wa huyo dada(wa tumbo moja) baadae wakamwagana!sasa majuzi kashuhudiwa (nami miongoni mwao) anatembea na mama mzazi wa hao wadada wawili.Nina amini asilimia 80 mama anafahamu mwanae (mdada wa kwanza) alitembea na huyo kijana sasa sijui kwa nini nae kamkubali.Mama huyo ana kazi yake na alitengana na mumewe ila anaishi na hao mabinti kwenye nyumba yake.Hii ni nini laana au vipi??Tumsaidiaje huyu jamaa aache hiyo tabia.Kuna watu watadhani ni hadithi ya kutunga ila hii imetokea laivu.Kabla sijamvaa kumpa counselling naomba maoni yenu</div>
</p>
<p>&nbsp;</p>

kwanini usimshauri huyo kaka atembee na ukoo wao mzima maana mimi navyoona atakuwa amewapenda sana sasa hivi akiachana na huyo maza amfate bibi yao akimaliza aende kwa shangazi zao aendeleeeee mpaka wanawake wote kwenye huo ukoo waishe ndio roho yake itatulia
 
Back
Top Bottom