Saidieni Watoto Hawa Jamani wanakufa njaa huko nchi ya Alshabaab. Mungu wape Mvua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saidieni Watoto Hawa Jamani wanakufa njaa huko nchi ya Alshabaab. Mungu wape Mvua!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Inanambo, Aug 8, 2011.

 1. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,312
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  somalia.jpg saidia.jpg njaa.jpg jamani saidia.jpg huruma.jpg huruma.jpg mama na mwana.jpg shibe wapi.jpg jamani saidia.jpg
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,759
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Ee Mungu tuepushe na hi balaa!warehem hawa wote.wape wenye uhitaji
   
 3. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  NATO (Nchi za magharibi) wanatumia ''gharama kubwa kulinda raia Libya'' Hivi,kwa nini wasilinde hawa watoto toka Siad Barre aangushwe manzoni mwa 1990s. Au kwa kuwa hawa nchi yao haina wese??? FAO,UNICEF, UNHCR wakwapi?AU, EAC, COMESA wwanashughulikiaje Kadhia hii. Nna rafiki zangu Wasomali saivi wanakula gomba (mirungi) tu, anzisheni Fund tuchangie japo kwa Mpesa.

  Ee Mwenyezimungu tuepushe na balaa hili,
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,343
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Tuwapigie kelele na wasomali wenyewe wawe responsible citizens, waache kupigana ovyo ili waweze kushiriki kwenye uzalishaji.
   
 5. K

  Kasanga Member

  #5
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wako wapi polisi wa dunia waende Wakasaidie? Libya walikwenda kupigana ON HUMANITARIAN GROUNDS! sasa Huo Uhuman wao mbona hatuuoni Somalia? au kwa kuwa hakuna Mafuta?
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,120
  Likes Received: 1,375
  Trophy Points: 280
  Kwa nini Wasomali wanaendelea kuzaliana wakati uwezo wa kujilisha hawana? Hakuna elimu ya uzazi huko? Au ndio wanashindana kuzaa ma-pirates na wapiganaji wapya wa Al-shaabab?
   
 7. L

  Leornado JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Astaghafirullah......
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Al Shabaab ndio wanaokataa kutoa fursa kwa jumuiya za kimataifa kusambaza chakula somalia.
  Shabab wanadai ulaya na marekani ni wapinga uislam so wasisambaze chochote kwa waislam
   
 9. s

  sha Senior Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  JE WAISLAM ULIMWENGUNI KOTE HAWALIONI HILI??????????? FAZIA FOX, MS etc etc Vipiiiiiiiiiii? NATOA MWITO KWA WAKRISTO WOTE TANZANIA HASA JF MEMBERS KILA MMOJA PALE ALIPO KUANZISHA UAMUSHO WA MISAADA KWA HAWA NDUGU ZETU , MUNGU MBARIKI KILA ATAKAYENYOSHA MKONO WAKE KWA AJILI YA UHAI WA WATU HAWA.
   
 10. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  wasomali hao wenye njaa wengi wao ni wasomali wenye asili ya tanzania somali bantus but
   
 11. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  subhanallah!!!
   
Loading...