Saidia maendeleo jimbo la Kalenga

mkokotoaji

Member
Nov 26, 2013
54
10
TUSADIE MAENDELEO YA JIMBO LA KALENGA.
Wadau Mimi ni mwanainchi wa Jimbo la tajwa hapo juu,naomba kwa Hali na Mali tusadie maendeleo ya Jimbo kwa kuhakikisha maji salama,afya na kuwasisitiza viongozi wetu kuona umuhimu wa huduma za afya na maji hasa kwa Mbunge wetu kutembelea Jimbo hili na kuhakikisha huduma za maji na bararbara zinapatikana
Mh Mbunge ni Rai yetu kuhakikisha unatutumikia na kuhakikisha huduma za maji kwa Jimbo letu zinapatikana,huduma ya barabara pia ya kalenga mpka kibebe.
Ni maoni yetu utasikiliza kero hizi na kuzitatua

By@mkokotoaji
 
Matatizo ya nchi za kiafrika siku zote ni yale yale.
Maji safi
Huduma za afya
Elimu bora na wala wananchi hawashtuki kwamba viongozi tulionao hawatufai.
 
Matatizo ya nchi za kiafrika siku zote ni yale yale.
Maji safi
Huduma za afya
Elimu bora na wala wananchi hawashtuki kwamba viongozi tulionao hawatufai.

Nani amekuhakikishia kuwa hao Viongozi ambao unawataka Wewe wakiwa Madarakani watakuwa ' Malaika ' Kiutendaji na hawatokuwa na Mapungufu ambayo kwa bahati nzuri yamethibitika kuwa ni ya Waafrika ( Watanzania ) wote yaliyotokana na Kuathiriwa na Wakoloni wetu na Elimu zetu duni?
 
Sisi wenyewe hapa hatujala siku 2 mfulululizo tutasaidiaje hilo jimbo lenu sasa.
 
Nani amekuhakikishia kuwa hao Viongozi ambao unawataka Wewe wakiwa Madarakani watakuwa ' Malaika ' Kiutendaji na hawatokuwa na Mapungufu ambayo kwa bahati nzuri yamethibitika kuwa ni ya Waafrika ( Watanzania ) wote yaliyotokana na Kuathiriwa na Wakoloni wetu na Elimu zetu duni?
Maneno na matendo yao vinalandana unlike other thugs waliopo sasa.
 
Back
Top Bottom