Usifanye direct translations kwanza..Tusaidiane kuitafsiri sentensi hii iwe kiingereza
"RAHA YA KUFUNGA UWE NA UHAKIKA WA KUFUTURU NA KULA DAKU" hapa ofisini kuna zogo linaendelea kuhusu kiingereza.
heeee huvumi lakini umo enheee!!! msalmie mkeo!Usifanye direct translations kwanza..
Ok..
The beauty of fasting is in having the assurance of there being iftar and daku.
ze pleasure of closing you have to be sure of futuris and eat dyaku.

wale wajuzi wa hii lugha iliyokuja na meli njoo mjibu huku watu wanataka kuuwana Nyani Ngabu Bishanga Judgement where are you
ngoja nijaribu kidogo, is the rahest of the kufungast is the kwast na the uhakikast of the kufutulust na the dakust
makofi tafadhali,pwapwapwa.....,pwapwapwa....pwaaa!!
heeee huvumi lakini umo enheee!!! msalmie mkeo!
Kwa hali hii Charminglady hawezi kukubali.
Usifanye direct translations kwanza..
Ok..
The beauty of fasting is in having the assurance of there being iftar and daku.
Tusaidiane kuitafsiri sentensi hii iwe kiingereza