Saidi Nguba: mwandishi 'ANAYEFICHA' habari

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Points
0

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 0
Ukiona mpaka huyu mzee anabeba bango ujue kuwa keshachoka

SITAKI mwandishi wa habari anayeficha habari. Huyu ni rafiki yetu wa siku nyingi, Said Nguba ambaye amekuwa mwandishi wa habari wa Waziri Mkuu kwa miaka miwili sasa.

Katikati ya wiki hii, Nguba alinukuliwa na vyombo vya habari akikiri kutoalikwa waandishi wa habari kwenye makabidhiano ya ofisi kati ya Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa na yule wa sasa, Mizengo Pinda.

Eti hakukuwa na habari katika tukio hilo ndio maana hakuita waandishi, lakaini alipeleka picha ya tukio hilo ikionyesha Lowasss ana Pinda wamekumbatiana; tena kwa kicheko cha "pasua mbavu."
http://www.ndimara.blogspot.com/
 

Forum statistics

Threads 1,364,305
Members 520,697
Posts 33,311,600
Top