Saidi Mwema aongoza tume ya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha Muandishi wa chanel ten.

CHANZO, habari kwa ufupi ya chanel ten!

Nimepigwa na butwaa!! Yaani inawezekana mzazi awe katika kamati au kuongoza ya kosa ambalo mwanaye ameshiriki tena kwa amri ya mzazi? This issue needs intependent commission. Na sijui wanaitakia nini tume wakati kila kitu kinajieleza. After all he is working on behalf on his in-law!!
 
I disagreee

Polisi wamemjeruhi Dr Ulimboka then wao wanachunguza
Polisi wameuwa muuza magazeti wao ndo wanajichunguzo
polisi ndo wamamuua Mwandishi wa Channel ten wao ndo wanachunguza

I support CCM with our goverment but this is rubbish
Polisi wanapaka matope chama chetu cha mapinduzi
Hao polisi wapo miaka yote na hawaui watu hivi. Hao polisi ni kama mbwa wanaotekeleza amri kutoka mamlaka ya juu. na ujue kuwa wakuu wa serikali ya CCM ni ma-boss wa hao polisi. Na hizo ruksa za kuua zinatoka Kwa government officials ambao ni CCM. Kama kuna polisi unayemfahamu muulize kama yeye binafsi anaweza akaamua tu kumpiga mtu risasi uone atakupa majibu gani?
Watanzania wenzangu inabidi muwe mnafuatilia kidogo ili mjue sheria ambazo zinawazunguka na sio kutuhumu watu fulani (polisi) tu bila kujua details.
 
I disagreee

Polisi wamemjeruhi Dr Ulimboka then wao wanachunguza
Polisi wameuwa muuza magazeti wao ndo wanajichunguzo
polisi ndo wamamuua Mwandishi wa Channel ten wao ndo wanachunguza

I support CCM with our goverment but this is rubbish
Polisi wanapaka matope chama chetu cha mapinduzi

Kweli shetani akizeeka anakuwa Malaika, yaani huyu Marelia Sugu amekuwa na ubinadamu leo na kuwakana Policcm!!??
 
Mambo ya tume ni hatua ya pili. Hatua ya kwanza na kwa RPC Kamuhunda kusimamishwa kazi. Huwezi kufanya uchunguzi wakati muuaji yuko ofisini.
 
Kumbe polisi wote wa afrika lao ni moja. SA wameua wafanyakazi wa migodini, kisha wanageuzia kibao kuwa polisi hawakuua!
 
Kwa hali jinsi ilivyo tujiandae, kwani wakati wowote kitanuka! 2015 mbali sana..tutaheshimiana soon! A seed must die before it germinates! Nyie si mnaringia vyeo vyenu na vyombo vyenu vya usalama as if mtaishi milele,ngoja muone...aaaaaaaaaaargh!*&₹
 
Mara ya mwisho walisema marehemu aliuwawa na kitu kinachopaa,this time watasema aliuwawa na kitu kinachotambaa.
 
jamani chenel ten nao wamenishangaza mie.nilikuwa nasikiliza dw nikasikia mahojiano kuhusu mwangosi,eti sio mwajiliwa wa kudumu amekuwa akifanya kama part time almost miaka sita.jamani kweli mtu anakufanyia kazi mda wote huu hujaona uhalali wa kumwajili!duh.kazi tunayo tunaotgemea ajira.
 
Hata mimi nimeshangaa,
halafu alikuwa anaongea kwa kigugumizi,eti hakuajiriwa bali alikuwa ktk partTime,Miaka 6!!?? Shame on them,Huyo mama,Polisi na Mkuu wao,Rais na wana CCM wote popote pale walipo Duniani,mlaamiwe kwa kung'ang'ania Chama Cha Majambazi
Hapa kuna kitu tunafichwa.
Ila Ipo Siku Kitawaka tu.
 
Ni kichekesho kingine kutoka hii Serikali dhalimu iliyojaa wauaji.
 
Back
Top Bottom