RUGAHIMBILA E R
Member
- Mar 5, 2009
- 95
- 32
Wadau kumekuwa na habari ambayo hadi sasa inasambazwa kwa kasi kuwa Saida Karoli alifariki jana katika ajali ya boti, lakini habari za kuaminika kutoka kwa jamaa zake pamoja na wasimamizi wa kazi zake Tivol Studio ya Mwanza zinasema ni mzima wa afya na anaendelea na shughuli zake kama kawaida.