:::::Said Mzee Said CHADEMA KATOSWA TAYARI:::::

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kweli sihasa waachie wenyewe mzee wetu said mzee said katoswa rasmi maana
tokea uchaguzi uishe hajaonekana tena

Je chadema walikuwa wanamtumia kama chambo kwa sababu ni dalasa la saba?

Jamani mzee wa watu
images
 
Mzee wa watu katoswa sasa hivi atakuwa anashinda makitaba
anasoma vitabu sijui ndo ajiweka fit kwa elimu yake ya darasa la saba?
images
 
Yupo sana mzee tena kajaa tele.
Wa magamba ni kawaida yenu kuwasusa wazee.
 
Cdm s wauza nyago,we unadhan kila saa ni kukenyua meno kwenye tv? Njomba kakenua weee kaona nyago haliuziki sasa katulia kaz imebaki kudagama
 
Kwani yule kampeni meneja wa kikwete (KINANA) yuko wapi mbona na yeye haonekani?????? Na yeye ametoswa maana hakuna hata kitengo alichopewa kisa kura za CCM na JK zimeporomoka.
 
Na yule mgombea wa urais mwenye madevu wa NCCR-Mageuzi kaishia wapi? Au Dovutwa!
 
Chadema hawana shukrani
Wewe unapendekeza afanyiwe nini, CCM kuna makada wake wana jifia hata hamtambui wako wapi achiliambali kuwa shukru lakini mzee huyu hata haja lala mika kama katoswa mnajidai mna mjari sana..mwambie rais wa kufutarisha amwite akafuturu anae...maana ndiyo kazi inayoonyesha kuimdu...
 
attachment.php

tatizo la Tanzania ni Kikwetena watu wake hawa hapo juu...Mwacheni mzee wetu..
 
said mzee yupo zanzibar darajani anauza samaki, analalamika sana anasema walikubaliana atalipwa milioni 10 kama mgombea mwenza lakini hakupata hata senti na msingi wake ni mdogo sana kwahiyo wana cdm shime tumchangie.
 
Back
Top Bottom