Said Mwema sasa ni raia, aburuzwe mahakani rasmi!

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
Kuna mauji ya makusudi yamefanyika akiwa IGP. Tunajua hakufanya yeye, lakini hakuna hatua alizochukua kuwawajibisha waliofanya mauaji hayo. Kitendo hicho kinachochea mauji zaidi pia ni matumizi mabaya ya madaraka yake.

Mauji ktk maandamano ya Arusha, Mauaji ya Mwangosi, Mauji ya watu mikononi mwa polisi na haya ya opereisheni Tokomeza. Nakubuka kina Kijobi Simba walipereka ushaidi wa picha za marehemu Mwangosi UN, nadhani wana ushaidi wa kutosha kumfikisha huyu mahakamani.

Tuanze na huyu tafadhari ili liwe fundisho kwa wengine. Akipandishwa huyu mahakamani najua akina Kamuhanda na Andengenye watafuata. Tafadhari wanasheria jazia penye mapungufu tushinikize issue hii.
 
Umeonyesha udhaifu mkubwa wa ufahamu wako wa sheria. Unaijua kesi ya mauaji wewe?
Acha kesi zako za kisiasa.
 
Kwani amestaafu? kabla rais aliwaacha kwa madai wanakaribia kustaafu hivyo alitaka amalize nao pamoja 2015 yeye na mkuu wa majeshi pia.
 
Jenga taifa kijana..umshinikize nani ww sheria yenyewe huijui.

Kesi hazijengwi ivyo km unavyoweza kufikiri
 
Kijana ongea kwa "facts" siyo hisia..feelings can not establish the case zaid ni uwezo mdogo tu wakufikir au uelewa mdogo wa jambo husika.hebu nenda kwa wanasheria wakupe mwongozo kidogo juu ya hicho unachokiita case juu ya Said Mwema maana hapa tutajaza pages tuanze kuwaboa watu.
 
Sheria mbali na Ubavicha mbali. Pitia ile gongo yako pale ukaimalizie.
 
Ma lumumba buku 7 hapa yapo ya kumwaga kule kweye nyuzi za katiba hawawezi gusa teh! Teh! kusa
Kijana ongea kwa "facts" siyo hisia..feelings can not establish the case zaid ni uwezo mdogo tu wakufikir au uelewa mdogo wa jambo husika.hebu nenda kwa wanasheria wakupe mwongozo kidogo juu ya hicho unachokiita case juu ya Said Mwema maana hapa tutajaza pages tuanze kuwaboa watu.
 
Kijana ongea kwa "facts" siyo hisia..feelings can not establish the case zaid ni uwezo mdogo tu wakufikir au uelewa mdogo wa jambo husika.hebu nenda kwa wanasheria wakupe mwongozo kidogo juu ya hicho unachokiita case juu ya Said Mwema maana hapa tutajaza pages tuanze kuwaboa watu.

mbona iko wazi sana ! Facts zipi tena mjomba ?
 
Kuna mauji ya makusudi yamefanyika akiwa IGP. Tunajua hakufanya yeye, lakini hakuna hatua alizochukua kuwawajibisha waliofanya mauaji hayo. Kitendo hicho kinachochea mauji zaidi pia ni matumizi mabaya ya madaraka yake.

Mauji ktk maandamano ya Arusha, Mauaji ya Mwangosi, Mauji ya watu mikononi mwa polisi na haya ya opereisheni Tokomeza. Nakubuka kina Kijobi Simba walipereka ushaidi wa picha za marehemu Mwangosi UN, nadhani wana ushaidi wa kutosha kumfikisha huyu mahakamani.

Tuanze na huyu tafadhari ili liwe fundisho kwa wengine. Akipandishwa huyu mahakamani najua akina Kamuhanda na Andengenye watafuata. Tafadhari wanasheria jazia penye mapungufu tushinikize issue hii.

Hatujawahi kuwa na IGP ambae kipindi chake kimekuwa na mauaji ya utata kama kipindi cha Mwema, imekuwa ni busara sasa ili hata wakati wa uchunguzi wa operation tokomeza unafanyika naye ahojiwe na waziri wake ambae kapigwa chini, ila pia awaeleze watanzania kilicho nyuma ya pazia kuhusu vifo vya Iringa, Morogoro, Arusha, Songea, Mbeya n.k
Tunaamini Mungu yupo na hizi damu ziko juu ya mikono yao.
 
naunga mkono hoja , kama PINDA kasokomezwa mahakamani itakuwa huyu ? Njia zilezile zitumike .
 
Kuna mauji ya makusudi yamefanyika akiwa IGP. Tunajua hakufanya yeye, lakini hakuna hatua alizochukua kuwawajibisha waliofanya mauaji hayo. Kitendo hicho kinachochea mauji zaidi pia ni matumizi mabaya ya madaraka yake.

Mauji ktk maandamano ya Arusha, Mauaji ya Mwangosi, Mauji ya watu mikononi mwa polisi na haya ya opereisheni Tokomeza. Nakubuka kina Kijobi Simba walipereka ushaidi wa picha za marehemu Mwangosi UN, nadhani wana ushaidi wa kutosha kumfikisha huyu mahakamani.

Tuanze na huyu tafadhari ili liwe fundisho kwa wengine. Akipandishwa huyu mahakamani najua akina Kamuhanda na Andengenye watafuata. Tafadhari wanasheria jazia penye mapungufu tushinikize issue hii.

Wasimsahau na Faustine Shilogile
 
M4C ndo imeua watu, mbowe, slaa and co. Ndo wakamatwe au wajiuzuru. Ni utaahira wa cdm kujfanya wao ndo wanajua demokrasia na kuhamasisha vurugu umesababisha vifo vya watz. Huyu mzee wa gongo na bwana nyumba ndogo wanatakiwa kuwajibika ktk hli
 
mleta uzi unamaanisha kuna watu wapo juu ya sheria hawawezi kushtakiwa wakiwa madarakani?
 
M4C ndo imeua watu, mbowe, slaa and co. Ndo wakamatwe au wajiuzuru. Ni utaahira wa cdm kujfanya wao ndo wanajua demokrasia na kuhamasisha vurugu umesababisha vifo vya watz. Huyu mzee wa gongo na bwana nyumba ndogo wanatakiwa kuwajibika ktk hli

Wapigwe tu. tumechoka!
 
Mleta mada hayo mambo unayoyawaza ni mambo muafaka kabisa ashitakiwe yeye pamoja waziri wake,baada ya hapo tunasubiri na Raisi naye akimaliza muda wake nae anashitakiwa the Haque kwa makosa ya mauaji ya raia wasiokuwa na hatia.Kwa kuwa hakuweza kuchukua hatua yeyote juu ya wauaji ambao wako wazi kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom