Said Fella muache Aslay huru

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,985
2,000
Unajua watu wanapenda kulia kulia hata pasipostahili! Tena huyu Aslay hapa hapa JF niliwahi kusema watu waache kumvimbisha kichwa... dogo bado sana!! Manake only few weeks ago watu walikuwa wanazungumzia zama za Diamond za mwisho wa Diamond zimefika eti kisa Aslay!!!

Tukauliza hapa ikiwa watu wanafahamu hasa tasnia ya muziki... leo hata miezi 3 haijapita, wanaanza kulia kuhujumiwa wakati nyimbo zinachezwa kama kawaida!
Huyu dogo anapewa airtime ya kutosha tena kuliko wenzake sijui watu wanatakaje.
Fiesta alikuwemo, jiwe la mwezi mara mbili bado interview kibao.
Sema yeye amechagua kutafuta public sympath mara barua kwa mama mara nimeanza mziki sina kitu na mengine.
Kama kweli waliibiwa na fella mbona wenzake hawalii kama yeye au alikuwa anaibiwa peke yake.
Tena wenzakd hawapati platform na support kubwa kama nayopewa yeye.
 
pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Mar 27, 2015
3,015
2,000
Aliye kupandisha ndie atakaye kushusha acheni kumjaza vumbi dogo mwisho avimbe kama ambassador wa tembo na kiki za kijinga afulie ale dona mwacheni awaheshimu wakubwa wamshushe kwa lipi wakati hao hao ndio walimuonyesha njia ya kupita unafiki mbaya
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
12,265
2,000
Huyu dogo anapewa airtime ya kutosha tena kuliko wenzake sijui watu wanatakaje.
Fiesta alikuwemo, jiwe la mwezi mara mbili bado interview kibao.
Sema yeye amechagua kutafuta public sympath mara barua kwa mama mara nimeanza mziki sina kitu na mengine.
Kama kweli waliibiwa na fella mbona wenzake hawalii kama yeye au alikuwa anaibiwa peke yake.
Tena wenzakd hawapati platform na support kubwa kama nayopewa yeye.
Unaona sasa... nilisahau hilo la barua kwa mama! Na hapa nilisema, kama huyu dogo angekuwa na music mind, hiyo barua yake angeitengenezea mashairi kwa ajili ya social conscious song ili apige pesa badala ya kulia lia kutafuta huruma. Na hapa ndipo wanapopigwa bao na Diamond! Na yeye alikuwa na barua kama ya Aslay lakini ya kwake ni ya mapenzi kwa akina Wema!!!

Lakini badala ya kulia lia, mwenzake akatengeneza track (SIKOMI) na hadi sasa inakimbiza kweli kweli huko Youtube!!!
 
KING 360

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,010
2,000
Aslay sio kwamba anahujumiwa kimachomuuma ni mboso ambae kwa sasa hazipandi kwenda WCB
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom