Hilo neno mpenzi halimaanishi mpenzi wa kimahusiano ni neno ambalo walokole wanalitumia Sana katika maongezi hata me Kuna mlokole ananita hivo ndo maana limenikaa Sana Tena ni mtu ambaye ana familia kabisa tena ananita mbele ya mumewe na Wala hakuna tatizo nafikiri utakuwa umenipata vizuri.Toa neno mpenzi. Sina mpenzi JF na wala sihitaji. Kulikua na dramania ila imeharibika siku hizi. Kuangalia jaribu dramanice,kissasian