Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

Toa neno mpenzi. Sina mpenzi JF na wala sihitaji. Kulikua na dramania ila imeharibika siku hizi. Kuangalia jaribu dramanice,kissasian
Hilo neno mpenzi halimaanishi mpenzi wa kimahusiano ni neno ambalo walokole wanalitumia Sana katika maongezi hata me Kuna mlokole ananita hivo ndo maana limenikaa Sana Tena ni mtu ambaye ana familia kabisa tena ananita mbele ya mumewe na Wala hakuna tatizo nafikiri utakuwa umenipata vizuri.
 
Mna yenu wewe na huyo mlokole. Hilo neno muitane jinsia tofauti haileti maana
Hilo neno mpenzi halimaanishi mpenzi wa kimahusiano ni neno ambalo walokole wanalitumia Sana katika maongezi hata me Kuna mlokole ananita hivo ndo maana limenikaa Sana Tena ni mtu ambaye ana familia kabisa tena ananita mbele ya mumewe na Wala hakuna tatizo nafikiri utakuwa umenipata vizuri.
 
Kijana angalia hapa. Dramacool9.com ukiipata movie click download kisha chagua 480p uzito wa kudownload maana 720p huwa inachukua muda kidogo
innocent dependent
 
Mojawapo ya matatizo makubwa kwa wasanii Tanzania ni kuingia mikataba bila kuitafakari. Kuna watu wanaingia mikataba ya kutumikia kampuni kwa miaka mitano mpaka kumi wakiwa wanaiachia kiasi fulani mapato yao ambayo inaweza kuwa 20% hadi 50%; hiyo siyo mikataba ya busara kabisa. Mikataba mingi ya sanaa na michezo huwa haidumu zaidi ya miaka mitatu kwa vile wahusikia wakuu huwa wanakua anabidlikia kulingana na umri. Niliwahi kusoma mkataba wa Mr Nice nikasema du! Hivi huyu aliyesaini alikuwa na akili timamu kweli?
 
Dogo harmo namuonea huruma Sana asije baadae kuingia Kwenye madawa yakulevya huu mziki ni mgumu kwel kwel hautegemei kipaji pekee ndo maana jux,benpol,Ruby,barnaba wanatruggle hawakui kimziki japo wanavipaji vikubwa kuliko hata harmonize.
aingie kwny madawa mara ngap mkuu?hao jamaa wanasukuma bidhaa sanaa huko mbelee,ukitaka kujua hili kuna kipnd dogo alikuw Ghana kapost akiwa na anavuta yale ma sigger,boss alimuamshia kinoma noma
 
Kwamba Dai hana hata nyumba?Zile pesa anazotoa msaada hazifikii kujenga nyumba?
Acheni uongo wadau.
Diamond ni sahihi ila hao wengine cjui king Kiba ana ghorofa, rayvan cjui ana maswimming pool,konde cjui ana mgorofa Wa hatari, hizo ni Instagram tu!!
 
Hao akina fella ndo wazee wa benchi la ufundi katika ulimwengu wa rangi nyeuşi sasa Harmo akae sawa asije baadae kupitwà kimziķi hata na pacha wake Harmo rapa
 
Ukiwa under wasafi,umaarufu utaupata sawa ila lazima watamake sure usimzidi Diamond.
Haya maneno yako nakumbuka yaliimwa sana Rich Mavoko mpaka akayaamini na kutoka ili amzidi Diamond, alifanya uamuzi sahihi na sasa amemzidi sana Diamond kwani hakuna tena kabari aliyokuwa akikabwa alipokuwa WCB.
Ingekuwa Showbiz ni sauti na mashairi nadhani top of the list wangejaa Barnaba, Ben Pol and the likes.
Natamani sana atoke haraka, maybe he is gonna prove us wrong.
 
Kwani nje ya WCB wapo waliomzidi Diamond!?
Umeuliza swali gumu sana,mbona hauna huruma kiasi hicho?

Nimejaribu kulitafakari kwa kina swali lako hivi ni nani nje ya WCB aliyemzidi Diamond hata wale waliokuwa wakishindanishwa naye tena kwa kumtumia late Ruge(RIP) ambaye alikuwa na influence kubwa kwenye game ya Bongo flavour, jibu ni hakuna.

Hawa madogo ndani ya WCB(including Harmonize) label ina mchango mkubwa kuwafanya wawe juu zaidi ya wana'Bongo flavour wenzao, namfikiria yule Harmonize wa Bongo Star Search bila ya Diamond(WCB) sijui angekuwa wapi leo hii.

All in all natamani atoke WCB tuone harakati zake, labda atamzidi Diamond kama tunavyoaminishwa na baadhi ya wadau.
 
Ulitaka aseme? Angalia vitendo.
NI wapi pasiponyonya? Kila mahali wanakunywa. Clouds wanakunywa Sana. Mameneja wengi wao ni kupe Sana. Nyinti mnao nashauri mjuwe biashana ni matangazo na WCB Wana vitu vya matangazo TV. RADIO wanamtandao mkubwa sana wa biashara ya mziki wa NDANI na njee. Mtoto wa watu wasije akawateja Sasa hivi. Na wakucheka NI sisi wenyewe. Atuliye, anachokipata ashukuru Mungu. Atakuwa tajiri polepole
 
Mojawapo ya matatizo makubwa kwa wasanii Tanzania ni kuingia mikataba bila kuitafakari. Kuna watu wanaingia mikataba ya kutumikia kampuni kwa miaka mitano mpaka kumi wakiwa wanaiachia kiasi fulani mapato yao ambayo inaweza kuwa 20% hadi 50%; hiyo siyo mikataba ya busara kabisa. Mikataba mingi ya sanaa na michezo huwa haidumu zaidi ya miaka mitatu kwa vile wahusikia wakuu huwa wanakua anabidlikia kulingana na umri. Niliwahi kusoma mkataba wa Mr Nice nikasema du! Hivi huyu aliyesaini alikuwa na akili timamu kweli?
Hivi yule Harmonise aliyekuwa hana uhakika wa kula na kulala hata angeambiwa aingie mkataba atapewa chumba cha kulala tu na atahudumiwa chakula angeweza kukataa? Priorities za kwanza kwenye maisha huwa ni channels, kuji'brand na kutengeneza solid foundation, mtu mwenye uwezo wa kuweka masharti wakati wa kusainiwa ni yule ambaye label inamuhitaji kwa kujitangaza kuliko yeye anavyoihitaji label katika harakati zake za kutafuta mafanikio na kuya'maintain.
Hata wafanyakazi(waajiriwa) na makampuni kama Vodacom, Tanzania Breweries and the likes kiuhalisia wananyonywa sana kulingana na jinsi kampuni hizo zinavyoingiza mapato huku waajiriwa wakiwa ndiyo wanaovuja jasho kila siku.
Kujitegemea huwa ni jambo zuri sana lakini ni kamari(gamble) pia kwani unaweza kufanikiwa tena sana at times hali kadhalika unaweza ukaangukia pua ukajuta na kutamani kurudi kambi uliyoinyea.
It's a fifty fifty scenario.
 
Ulilosema ni sawa, lakini si unaona kuwa tatizo linaanzia hapo? Hiyo mikataba ya muda mrefu inatakiwa ipigwe marufuku. Mtoto wa miaka kumi na nane anapotaka kujaribu usanii wa muziki eti anapewa mkataba wa miaka kumi, na kwa vile yuko desparate anakubali tu, je ikitokea kuwa baada ya miaka mitatu anataka abadili uelekeo wa maisha labda aingie kwenye siasa au biashara nyingine utamzuia? Kumbuka hawa vijana bado wana opportunities nyingi sana za kujaribu maishani. Mikataba hiyo ya miaka kumi ni kama kifungo cha maendeleo yao. Kuwe na limit ya umri wa mkataba, labda miaka mitatu mitatu renewable. Huwezi kusikia mchezaji wa mpira kapewa mkataba wa miaka kumi, nilizoma mikataba hiyo ya miaka kumi kwa wasanii wa Tanzania tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom