Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

Hamo hapo kipesa ni mkewe yule mzungu na siyo wasafi. Wasafi wakishakupa pesa ununue gari,upange nyumba baasi. Angalia kina lava lava Rayvan.
Huyo Sara kamkuta Hamo ana ghorofa kajenga kwa pesa za muziki labda km alimfanyia finishing... Rayvanny ana nyumba yenye swimming pool sasa wananyonywaje awa watu? Lavalava kaanza muziki juzi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom