Yameandikwa mengi kuhusu operesheni pamoja daima, wako walioandika wamepewa pesa nje ya nchi, na wengine eti wametumia zaidi ya bilioni kumshughulikia zito
ukweli ni huu
1. Zilitumika chopa tatu, mbili zzilikodiwa toka kenya ambazo zitaipwa taratibu, na moja ya mh. Ndesamburo, gharama za chopa zilkuwa ni shilingi 8m kwa siku na kwa kuwa hazikufika masaa tisa kwa siku gharama zimepunguwa sana zote tatu hazitazidi 140m.
2. Chopa hizi zitalipwa kwa awamu na jinsi pesa zitakavyopatikana huenda denni hili likalipwa kwa mwaka mzima ili shughuli nyingine za chama kama kupeleka pesa mikoani kusiathiriwe.
3. Gharama zote za operesheni hazifiki 250m
source: Mimi mwenyewe jikoni niliko.
Ccm wanashangaaa kwa kuwa kwa ufisadi wao operesheni kama hii wangetumia bilioni tano