Sahau kuhusu vikwazo ulivyokumbana navyo miaka mingi iliyopita ama hata mwaka huu 2016

Mar 12, 2016
73
33
Sahau kuhusu vikwazo ulivyokumbana navyo miaka mingi iliyopita ama hata mwaka huu 2016.

Kumbuka kwamba mafanikio yako yanaweza kupatikana ndani ya mwaka mmoja wa 2017.

Ongeza uthubutu, ushirikiano, Upendo na kumtumaini Mungu daima, utavishinda vikwazo na kuyafikia mafanikio yako.

Nakutakia mwisho mwema wa mwaka 2016 na mwanzo mwema wa mwaka 2017.
 
Back
Top Bottom