Sahara Media Group kuwa na washindi wawili wa tuzo

Kwetu Masoko

Senior Member
Mar 16, 2016
122
32
Wakuu salaam,

Hivi najiuliza ni kwa nini kituo kikubwa cha Sahara Media Group kupata washindi wawili tu wa tuzo za uandishi wa habari.

Wenzao ITV/Radio One wamepata washindi kumi.

Tujadili
 
usishangae ndio uwezo ulipofikia.Superbrand ITV achana NAO kabisa ni habari nyingine.SMG hawana tofauti na TBC.Naona Dr.Ryoba kaanza kwa low profile sana na wasiwasi atashibdwa kuibrand TBC kuwa unique
 
Kweli Mkuu hawa jamaa SMG walijitoa ufahamu kipindi cha kampeni mwaka jana
 
Back
Top Bottom