SAFU YA UKOMBOZI TANZANIa

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675

Toka kushoto mbele;Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,Makamu wa Rais Serikali ya Muungano Dk. Mohamed Ghalib Bilali,Waziri Mkuu Mizengo Kayanda Peter Pinda,na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Mh. Seif Shariff Hamad.Kushoto nyuma;Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mh Anne Makinda,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Iddi Seif,Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano,Jaji Frederick Werema na Katibu Mkuu Kiongozi,Mh. Philemon Luhanjo.

Mbona hakuna mambo ya dini? kitu hapa sawa kwa sawa?
 
Lazima tumpe hata kundi la kishetani haki yake.

The COOL Minded people there with no uncalled-for biasness wako watatu tu kwenye safu hii. Kwa maoni yangu watu haoni ni Dr Ali Mohammed Shein, Peter Kayanza Pinda, na Jaji Augustino Ramadhani, funga mlango!!!!
 
Heee, heee, kumbe uongozi mtamu! Namwona Bilal kishavaa suti ya kisasa. Karibuni tu hata ile hali yake ya chokambaya itakuwa historia.
 
toka kushoto mbele;rais wa zanzibar dk. Ali mohamed shein,makamu wa rais serikali ya muungano dk. Mohamed ghalib bilali,waziri mkuu mizengo kayanda peter pinda,na makamu wa kwanza wa rais wa zanzibar,mh. Seif shariff hamad.kushoto nyuma;jaji mkuu mh. Augustino ramadhani,spika wa bunge la jamhuri ya muungano, mh anne makinda,makamu wa pili wa rais wa zanzibar mh. Iddi seif,mwanasheria mkuu wa serikali ya jamhuri ya muungano,jaji frederick werema na katibu mkuu kiongozi,mh. Philemon luhanjo.

Mbona hakuna mambo ya dini? Kitu hapa sawa kwa sawa?

kwa hiyo mkuu unaposema hiyo ni safu ya ugombozi, unaaamanisha kwamba watanzania wanahitaji kukombelwa.
1. Swali; kama watanzania wanataka kukombolewa je ni nani aliyewafanya mateka hadi wahitaji mkombozi?
2. Kama kwa miaka hamsini tanzania inaongozwa na ccm haya wakombozi hao wanatoka wapi?
3. Anaehubiri udini ni mwenyekiti wa ccm, muulizeni swali hilo, yeye anayatowa wapi ya udini?
Tanzania ya leo si pepo ya mabwege.
 
Hayati Baba wa Taifa aliwahi kutupa angalisho kwamba dalili kubwa ya mtu kufilisika kisiasani kuhubiri udini na ukabila. Tangu aelemewe na hoja za wapinzani Kikwete amekuwa akihubiri eti kuna udini na ukabila. Yaelekea Kikwete haelewi implications za tuhuma za uongo anazotoa. Ukweli ni kwamba kama watu wangepiga kura kwa mwegemeo wa dini au ukabila Kikwete asingepata hata hizo kura alizochakachua. Mimi kama mkristu sijawahi kusikia kampeni za kuwashawishi watu wapige kura kwa mrengo wa ukristu zaidi ya kusikia minong'ono ya kwamba huyohuyo Kiwete alikuwa akiwashawishi kisirisiri waislamu wenzake kumkataa Dr. Slaa kwa ajili eti amewekwa na wakristu.
Kuna kila dalili kwamba CCM na Kikwete wao wamefilisika kisiasa na kama hilo ni kweli wasubiri kiama chao 2015.

mazuri tuwape credits mabaya tuyaponde. yote mawili tuyataje wakati wa kupongeza na wakati wa kuponda
 
kwa hiyo mkuu unaposema hiyo ni safu ya ugombozi, unaaamanisha kwamba watanzania wanahitaji kukombelwa.
1. Swali; kama watanzania wanataka kukombolewa je ni nani aliyewafanya mateka hadi wahitaji mkombozi?
2. Kama kwa miaka hamsini tanzania inaongozwa na ccm haya wakombozi hao wanatoka wapi?
3. Anaehubiri udini ni mwenyekiti wa ccm, muulizeni swali hilo, yeye anayatowa wapi ya udini?
Tanzania ya leo si pepo ya mabwege.

Red: Mbona hata chadema walikuwa wanaubiri ukombozi??
Wapipigwa chili ukombozi umebaki kwa safu hii :llama::llama::llama:
 
Toka kushoto mbele;Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,Makamu wa Rais Serikali ya Muungano Dk. Mohamed Ghalib Bilali,Waziri Mkuu Mizengo Kayanda Peter Pinda,na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Mh. Seif Shariff Hamad.Kushoto nyuma;Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mh Anne Makinda,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Iddi Seif,Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano,Jaji Frederick Werema na Katibu Mkuu Kiongozi,Mh. Philemon Luhanjo.

Mbona hakuna mambo ya dini? kitu hapa sawa kwa sawa?

Ole wenu mnaowatesa wapiga kura!
 
Kumbe Tanzania inahitaji ukombozi...salaaaaleehhhh hivi inatawaliwa na mkoloni gani vile? Au ni ukombozi wa kiuchumi...hivi ni nani amebaka uchumi wetu kwa miaka 50 vile? Kinaitwa kikundi gani vile? chichi.....
 
Toka kushoto mbele;Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,Makamu wa Rais Serikali ya Muungano Dk. Mohamed Ghalib Bilali,Waziri Mkuu Mizengo Kayanda Peter Pinda,na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Mh. Seif Shariff Hamad.Kushoto nyuma;Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mh Anne Makinda,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Iddi Seif,Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano,Jaji Frederick Werema na Katibu Mkuu Kiongozi,Mh. Philemon Luhanjo.

Mbona hakuna mambo ya dini? kitu hapa sawa kwa sawa?
CCM wametangaza ilani yao ya 2015. Baada ya kuona maji yanafika shingoni wanaona salama yao ni kuwatisha wananchi kwa hoja mfilisi za:
- uvunjifu wa amani na utulivu (bila kutaja kuwa hivi vinategemea uwepo wa haki)
- udini
- ukabila

Kwa hiyo tuhuma hizi tutazisikia sana katika miaka mitano ijayo. Walizitumia dhidi ya CUF wakafanikiwa. Siyo sasa. Na ubabe wa Polisi na vyombo vingine vya dola utatumika kuzima harakati kwa kisingizio cha kudumisha amani na utulivu. Cha muhimu ni kutoa elimu kwa wananchi kuwa wavunja amani, wadini na wakabila ni CCM wenyewe. Mijini somo limeishaeleweka kiasi cha kuridhisha. Sasa darasa lipelekwe vijijini. Hakuna kulala. Giza uwa zito karibu na asubuhi.
 
Wee subiri uone huo ukombozi ilishindikana toka enzi ya mwalimu sina uhakika kama hawapo kimaslahi zaidi:rain:
 
Red: Mbona hata chadema walikuwa wanaubiri ukombozi??
Wapipigwa chili ukombozi umebaki kwa safu hii :llama::llama::llama:
Chadema wanahubiri ukombozi wa mtanzania kutoka mikononi mwa uongozi dhalimu wa ccm.ila ccm haiwezi kusema inatukomboa wakati yenyewe ndiyo inatutia matatizoni.
 
Ukombozi?

Ukombozi ufanywe na CCM dhidi ya madhira yaliyoletwa na CCM yenyewe??

Du..hii kali ya kuanzia mwaka!

Suicidal rather!
 
Wizi huo tu hakuna ukombozi hapo hata kidogo..

Jk - fisadi
sherif hamad - msaliti
werema - msaliti na mtetea mafisadi
anna makinda - amewekwa na mafisadi
augustino ramadhani - alihusika sana na mm advocates kutengeza makampuni feki na kuyafilisi baada ya kuchota epa
shein - safi
spika wa zanzibar - simfahamu vizuri.
Mzee luhanjo - katibu kiongozi wa baraza la mawaziri - fisadi kiongozi.
Mtoto wa mkulima (pinda) - safi ila anatetea sera za mafisadi.
 
Back
Top Bottom