Safu mpya ya CCM: Mniombee, nakaribia kuingia Kamati Kuu au Sekretarieti

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dr. John Pombe Magufuli amepuliza tarumbeta chamani. Tarumbeta la mabadiliko. Kutakuwa na mabadiliko kwenye Kamati Kuu na Sekretarieti. Vikao vimeshaitishwa.

Makada waandamizi chamani tumeshatakiwa kuwasilisha CV zetu kufuatia mapendekezo ya muendelezo ya kichama. Kwa upepo ulivyo,umahiri na msimamo wangu,naweza kuchomoza Kamati Kuu au Sekretarieti.

Tunalenga kwa kuringa kufanya mabadiliko yenye mashiko chamani. Mniombee nipenye na kutumikia vyema chama chetu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Hukwenda kwenye msafara wa "Kata Funika"
 
Kila la heri mkuu...ndiyo mwanzo wa kupewa ubalozi huo kama ndugu yako Nchimbi
 
Mkuu vuta nkuvute hujawahi kuniangusha SAWA tunawaombea ukifanikiwa mkijenge Sana chama chenu. Sitegemei kuona mafisadi chamani nitazidi kufurahi nikiskia kesi zao zimeanza kusikilizwa mahakama ya mafisadi
 
Mola na akupe haja ya moyo ila usiikondee hiyo nafasi mkuu. M/kiti wako namuogopa, hujui siku tajwa ataamkia mguu gani. Si umeona moto alowawashia kule Mwanza?? Wale watendaji wake watapita wapi jamani? Ni aibu iliyoje, usimamie kubomoa sasa usimamie kujenga!! Kuna kale ka mama keupe hivi, kalivyotoa mimacho kuwatetea migambo yake ilopigwa. Sasa hata ka aliwakwida washambulizi akiwafikisha kwa Pilato, si inaonesha kuwa walikuwa wanatenda kwa uonevu?? Mbona baba kawaona? Vuta nkuvuute, ukifanikiwa mtonye m/k apunguze spidi, usibomoe kwanza halafu ujenge baadae. Sura ya uonevu haifutiki haraka ka sura ya upendo. Mwambie upendo wake kwa mlalahoi ulishafutika kabisa. Sura tulo nayo ni uonevu, ubabe, unyanyasaji na zaidi ya yote, na kuwafanya watu tuishi kishetwanishetwani. Hayo ndo mafanikio yake hadi sasa
 
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dr. John Pombe Magufuli amepuliza tarumbeta chamani. Tarumbeta la mabadiliko. Kutakuwa na mabadiliko kwenye Kamati Kuu na Sekretarieti. Vikao vimeshaitishwa.

Makada waandamizi chamani tumeshatakiwa kuwasilisha CV zetu kufuatia mapendekezo ya muendelezo ya kichama. Kwa upepo ulivyo,umahiri na msimamo wangu,naweza kuchomoza Kamati Kuu au Sekretarieti.

Tunalenga kwa kuringa kufanya mabadiliko yenye mashiko chamani. Mniombee nipenye na kutumikia vyema chama chetu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mi nakuombea ukufanikiwa umkumbuke pascal mayala atawasaidia
 
Duh hivi yule Mama wa UWT aliyekataa kata kata jina la Laigwanan Mkuu kukata atakuwemo kweli maana sijamsikia miongoni mwa majina ya mabalozi wapya pamoja na kufungua balaozi kadhaa lakini wapi Mama hayumo ?.Huu si uonevu wa kina Mama wanataka 50 / 50 sasa ikiwa wanaume wanateuliwa 15 halafu kina Mama wanne unafikiri hiyo 50 / 50 itafikiwa lini ????.
 
Anaingia kamati Kuu kwa wadhifa wake wa uenyekiti UWT taifa
 
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dr. John Pombe Magufuli amepuliza tarumbeta chamani. Tarumbeta la mabadiliko. Kutakuwa na mabadiliko kwenye Kamati Kuu na Sekretarieti. Vikao vimeshaitishwa.

Makada waandamizi chamani tumeshatakiwa kuwasilisha CV zetu kufuatia mapendekezo ya muendelezo ya kichama. Kwa upepo ulivyo,umahiri na msimamo wangu,naweza kuchomoza Kamati Kuu au Sekretarieti.

Tunalenga kwa kuringa kufanya mabadiliko yenye mashiko chamani. Mniombee nipenye na kutumikia vyema chama chetu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
mzee tupa tupa nakutakia upenye ufike huko .tumekuwa tukipishana misimamo lakini sote tunaipigania Tanzania na wewe sijui unaenda kuipiginia Tanzania au ccm .kila la heri
 
Duh hivi yule Mama wa UWT aliyekataa kata kata jina la Laigwanan Mkuu kukata atakuwemo kweli maana sijamsikia miongoni mwa majina ya mabalozi wapya pamoja na kufungua balaozi kadhaa lakini wapi Mama hayumo ?.Huu si uonevu wa kina Mama wanataka 50 / 50 sasa ikiwa wanaume wanateuliwa 15 halafu kina Mama wanne unafikiri hiyo 50 / 50 itafikiwa lini ????.
sophia lion?
 
All the best,mkuu!mie nasubiria mnyukano mkuu wa uchaguzi wa ndani 2017!nataka nione mapovu ya wana c.c.m wakilia kuibiwa kura na wenzao!
 
Back
Top Bottom