Safi sana OCS Kombe wa Polisi Chang'ombe Temeke kusambaratisha sherehe ya mashoga mchana kweupe

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
IMG_20171103_174757.jpg

Sasa hivi mashoga au kaka poa hawana aibu hata kidogo.Baada ya kufanya sherehe mchana kweupe huku wakishirikiana na kundi la wadada wanaojiita jina la wao buku tu kumuandaa mdada mmoja ambaye ataolewa kesho maeneo ya Tandika Maghorofa Foma

Huyo aliyevaa suruali ya pedo ya Jinsi ya blue ni mmoja wao hao shoga na blauzi ya maua maua nyeusi

Then wazee wasiopenda maadili ya vijana kuharibika walitoa taarifa Polisi Chang'ombe Temeke kwa Mkuu wa Kituo Kamanda Kombe na yeye kutuma kikosi chake kusambaratisha hiyo sherehe na kukamata baadhi yao.

IMG_20171103_174837.jpg
 
8
Vizuri sana. Wangekamata na hao wa buku hao..
Ni hao wenye sare za njano.... Ngumu maana ni wadada tu ila wao buku tuni hatari sana na inasemekana wameshindikanika.

Na huyo wenzao anaolewa Jumamosi sijui Jumapili nasikia inaweza ikawa balaa tupu
 
View attachment 623482
Sasa hivi mashoga au kaka poa hawana aibu hata kidogo.Baada ya kufanya sherehe mchana kweupe huku wakishirikiana na kundi la wadada wanaojiita jina la wao buku tu kumuandaa mdada mmoja ambaye ataolewa kesho maeneo ya Tandika Maghorofa Foma

Huyo aliyevaa suruali ya pedo ya Jinsi ya blue ni mmoja wao hao shoga na blauzi ya maua maua nyeusi

Then wazee wasiopenda maadili ya vijana kuharibika walitoa taarifa Polisi Chang'ombe Temeke kwa Mkuu wa Kituo Kamanda Kombe na yeye kutuma kikosi chake kusambaratisha hiyo sherehe na kukamata baadhi yao.

View attachment 623503
pambana na umasikini wako
 
Back
Top Bottom