Safaricoms ksh 48 billion net profit in perspective

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
15,589
2,000
Safaricom CEO Bob Collymore Wednesday announced that his company made Sh213 billion from its 28 million customer base. M-Pesa and data were the key drivers of the record earnings.
Net profit grew by more than a quarter to Sh48 billion, sawa na Tsh 1.008 trilioni.

Smz inakadiria kutumia Tsh. 1,087.4 bilioni ktk mwaka wa fedha 2017/2018 ikiwemo matumizi ya fedha ya kawaida Tsh.590.8 bil. na matumizi
ya kazi za maendeleo ni Tsh. 496.6 bilioni.

Lakini pia jambo la kufurahisha serikali ya Dkt.Shein kwa mara ya kwanza imevuka malengo ya kutoka ktk muundo wa bajeti ya bilioni hadi zaidi Trioni moja.

In other words Bob Collymore can finance the entire SMZ budget! Deeply humbled.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom