Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,087
- 6,568
Hayo yamesemwa na Waziri wa ujenzi na uchukuzi Leonard Chamriho. Ameyasema haya baada ya kamati ya kudumu ya bunge ya miundo mbinu kutembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Sgr kipande cha Dodoma mpaka Dar es salaam.
Hivyo amesema kuwa safari za Dar mpaka Morogoro zitaanza mwezi Agost baada ya mabehewa kuwasili mwezi Juni mwaka huu.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge wameridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi huo. Na wanaona umaenda sawa.
Mbali na haya ikumbukwe mradi huu ulitarajiwa kuanza mwezi Aprili mwaka huu na ahadi ya kuanza safari za Dar es Salaam kwenda Morogoro alizitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipotembelea huu mradi mwaka jana.
Kipande cha Dar- Moro kilitarajiwa kuanza safari zake Novemba 2019 lakini mpaka hii leo mwaka 2021 hakuna dalili zozote kuanza.
====
KANUSHO:
=====
Thread 'Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro' Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro