Safari za rais zisizi na tija tufanye nini kuzizuia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari za rais zisizi na tija tufanye nini kuzizuia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JERUSALEMU, Oct 18, 2012.

 1. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,806
  Trophy Points: 280
  Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hivi ni nani anampangia rais wa JMTsafari za nchi za nje? kwa mtazamo wangu safari hizi hazina tija kwa nchi.Labda kama zina lenga kuwatajirisha watu wanaosafiri na rais ambao kwa kiasi kikubwa ni walewale.
  Haiingii akilini rais atoke kutembelea nchi za ulaya na marekani halafu baada ya siku tano tu anaondoka kwenda uarabuni kufanya matembezi mengine tena kwa fedha za walalahoi!! AMIMNI USIAMINI SAFARI HIZI ZA KIKWETE ANGEZIFANYA MKUU WA SHULE YOYOTE ANGEKUTA SHULE YAKE IMECHOMWA MOTO ZAMANI.MTU hatulizani ofisini kwake tatizo liko wapi? mbona bunge halihpji ufujaji huu wa fedha za umma? for your information, mpaka sasa rais wetu anashikilia record ya kuwa rais wa kwanza dunuani kwa safari za nje.
  NINI kifanyike kuzuia safari hizi zisizo na tija kwa nchi yetu?
   
 2. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu unajua kwa anachofanya Mr.President, ndicho anawafundisha wabunge "wake"..wabunge hawakai majimboni, kama vile wanavyotoa mfano kwa mwalimu wao.
   
 3. r

  raymg JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuingia kwenye the Giness records ya kuwa wa kwanza kusafiri sana n tija tosha mkuu......
   
 4. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,144
  Likes Received: 2,178
  Trophy Points: 280
  Matairi ya Ndege ya Raisi yatobolewe
   
 5. m

  mwitu JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 857
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  anaona raha kupanda ndege
   
 6. Z

  Zimamoto JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 464
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Baba akishindwa kusimamia familia yake, hupenda kushinda kwa majirani kupiga soga. Akihojiwa husema alikuwa anabadilishana mawazo na wenzake, kwa faida ya nani? Nchi imeliwa.
   
 7. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Jamani anaenda kuwatafutia misaada ili msife njaa! Watanzania mmezidi kulalamika.cha msingi ni kumuwezesha awe na AIR force one yenye bedroom,choo,bafu,ofisi,jiko,sitting room,dining room,video conferencing room ili awe anakaa huko huko angani.
   
 8. cedrickngowi

  cedrickngowi Senior Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna haja ya hizi safari kujadiliwa na bunge kwanza ili zieleweke umuhimu wake kabla ya kupitishwa.Ndio maana sikushangaa hata niliposikia madiwani wa moshi walipotaka kwenda Rwanda kujifunza kwani baada ya wiki moja tu ulifuatia msafara wa wabunge ukielekea Indaia kwa kile wenyewe wanachoita ziara ya mafunzo maana wote ni wageni na kazi.wananchi pekee ndo tunaoweza chukua hatua juu ya hili.GOOD AND RESPONSIBLE LEADERSHIP happens only whenever there is ACTIVE CIVIL SOCIETY.Tafakariiiiiiiiiiiiiiii.........chukua hatua............
   
 9. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Haki ya Mungu umeniwahi! Nilitaka kusema hivyo hivyo! Tusali ndege anazokwea zipate pancha!
   
 10. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  hiyo aitosaidia kuna kipindi ndege yake ilikuwa na matatizo alikuwa anakodisha emirates
   
Loading...