Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Bora tumeutua huu mzigo.

Acha Kabisa, maana mpaka anatoka kazini alienda Safari 427 na tukichukulia kila safari alikaa siku tatu (kiwango cha chini) 427x3= 1281 days, ina maana siku 1281 Mh JK hakuwa nchini Tanzania, na tukienda mbali kwamba mwaka mmoja una siku 365 kwa hiyo 1281/365=3.5 yrs, yaani katika miaka yake kumi ya utawala alikuwa nje ya nchi kwa miaka mitatu na nusu ikiwa na maana alitawala akiwa nchini kwa miaka 6.5 tu, hii ni balaaa
 
Hivyo mkwere huyu alipitia jando? Kwetu kijana akishatahiriwa anakuwa mtu mzima na kuheshimika. Hata maamuzi yake yamekomaa. Mbona maamuzi ya jamaa huyu ni ya kitoto hivi hata watoto wenyewe wanamshangaa!
 
Hivyo mkwere huyu alipitia jando? Kwetu kijana akishatahiriwa anakuwa mtu mzima na kuheshimika. Hata maamuzi yake yamekomaa. Mbona maamuzi ya jamaa huyu ni ya kitoto hivi hata watoto wenyewe wanamshangaa!

kuna tofauti ya kwenda jando na kutahiriwa huyu ametahiriwa lakini hajaenda jando mwanaume wa kweli lazma uende jando kwa bahati mbaya sana hata vijana wengi sana sasa hivi hawaendi jando bali wanatahiriwa tu
 
kusafiri sana kweli ilitisha. lakini kujiita dr. mumemwita wenyewe kwa kujipendekeza. halafu huyu alikua msomi muhitimu wa shahada ya kwanza ya uchumi pia msomi wa juu kwenye mambo ya kijeshi. halafu sio kiongozi wa kwanza kutumia tittle ya heshima ya udokta. walikuepo wengi tu i e dr. seretse khama dr kaunda hata nyerere kuna wakati tulimuita dr nyerere. sio ajabu mtu aliyetunukiwa phd ya heshima kuitwa dr. ila kuna wajinga wengi wamenunua vyeti feki na wengine kununua eti za heshima. ingefaa kuwashangaa hao na sio msomi kama jk.
 
Mwl Julius Kambarage Nyerere
Alhaj Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
**Dr Jakaya Mrisho Kikwete**
Dr John Pombe Joseph Magufuli



Mkuu Jason Bourne Salute Sana Kwako
Ni Kikwete Pekee Aliyejiita Dr Wakati Ni Wa Kutunukiwa Tu Ila Akaamua Kujiita Dr

Ila Hadi Sasa Jamaa Anasafiri,Ningeomba Ikiwezekana Ufanye Update Hata Safari Zake Baada Ya Kustaafu
 
Je watanzania tunataka nini? Yule alisafiri tukapiga kelele....
Huyu hasafiri tunapiga kelele....

What exactly do we want??????
 
Je watanzania tunataka nini? Yule alisafiri tukapiga kelele....
Huyu hasafiri tunapiga kelele....

What exactly do we want??????
Tunataka maendeleo mkuu.

Yule alituahidi Maisha bora kwa kila mtanzania.

Huyu alituahidi Nchi ya Viwanda.

Ila hali jinsi ilivyo nadhani unaiona....
 
Back
Top Bottom