Samia amekuwa ni rais wa JMT kuanzia tar. 19 March 2021. Kwa uwezo na kipaji alichojaaliwa na Muumba, kisha weza kusafiri nje ya nchi kama ifuatavyo:
1. Uganda - 11 April 2021
2. Kenya - 4 May 2021
3. Msumbiji - 22 June 2021
4. Burundi - 15 July 2021
5. Rwanda - 2 August 2021
6. Malawi - 16 August 2021
7 Zambia - 24 August 2021
8. US - 20 September 2021
9. U K (Glasgow) - 30 October 2021
10. Misri - 10 November 2021
11. …………..

Tuendelee kuhuisha idadi hii kadri rais wetu atakavyojaaliwa.
 
Samia amekuwa ni rais wa JMT kuanzia tar. 19 March 2021. Kwa uwezo na kipaji alichojaaliwa na Muumba, kisha weza kusafiri nje ya nchi kama ifuatavyo:
1. Uganda - 11 April 2021
2. Kenya - 4 May 2021
3. Burundi - 15 July 2021
4. Rwanda - 2 August 2021
5. Zambia - 24 August 2021
6. US - 20 September 2021
7. U K (Glasgow) - 30 October 2021
8. Misri - 10 November 2021
9. …………..

Wacha asafiri tujue, kuliko akope kimyakimya kama wengine 😂 😂 😂
 
Mbona makongamano na trip za Dom to Dar, Dar to Dom kwa wizara na taasisi hamhesabu.
Pia mbona hamhesabu mawaziri wanaokuwa na walinzi nyuma wanapohutubia.
 
Samia amekuwa ni rais wa JMT kuanzia tar. 19 March 2021. Kwa uwezo na kipaji alichojaaliwa na Muumba, kisha weza kusafiri nje ya nchi kama ifuatavyo:
1. Uganda - 11 April 2021
2. Kenya - 4 May 2021
3. Burundi - 15 July 2021
4. Rwanda - 2 August 2021
5. Zambia - 24 August 2021
6. US - 20 September 2021
7. U K (Glasgow) - 30 October 2021
8. Misri - 10 November 2021
9. …………..

Tuendelee kuhuisha idadi hii kadri rais wetu atakavyojaaliwa.
Maana yake ni kwamba kila mwezi analamba per diem ya kuwa nje ya nchi

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Ongeza na hizi ,22 juni 2021 alienda Msumbiji kuhudhuria mkutano wa dharura wa SADC.
16 August 2021 alienda Malawi kuhudhuria mkutano wa SADC.

Samia anapenda kusafiri nje ya nchi ana miezi 8 madarakani lakini mikoa mingi ya Tanzania hajakanyaga.

Ni Vasco da Gama wa kike.
 
Mbona makongamano na trip za Dom to Dar, Dar to Dom kwa wizara na taasisi hamhesabu.
Pia mbona hamhesabu mawaziri wanaokuwa na walinzi nyuma wanapohutubia.
Uzi ulijieleza vizuri tu kwamba ni juu ya safari za Rais Samia tangu aingie madarakani. Safari za watumishi wa Wizara kati ya Dar na Dodoma zinaingiaje hapo mpaka unadadisi kwa nini hazikuongelewa kwenye uzi? Kama dukuduku lako ni safari hizo, zianzishie uzi wako. Dukuduku la mtoa hoja ni safari za Rais tangu aingie madarakani. Hustahili kumuuliza kwa nini hakuzungumzia kitu cho chote mbali na alichokizungumzia.
 
Samia amekuwa ni rais wa JMT kuanzia tar. 19 March 2021. Kwa uwezo na kipaji alichojaaliwa na Muumba, kisha weza kusafiri nje ya nchi kama ifuatavyo:
1. Uganda - 11 April 2021
2. Kenya - 4 May 2021
3. Burundi - 15 July 2021
4. Rwanda - 2 August 2021
5. Zambia - 24 August 2021
6. US - 20 September 2021
7. U K (Glasgow) - 30 October 2021
8. Misri - 10 November 2021
9. …………..

Tuendelee kuhuisha idadi hii kadri rais wetu atakavyojaaliwa.
Mkuu,
Niruhusu nisahihishe hiyo namba 6 hivi: Hakwenda US alienda UN. Hakuwa Mgeni wa US alikuwa mjumbe (siyo mgeni) kwenye mkutano wa UN. Did I eliminate any ignorance may be?
 
Samia amekuwa ni rais wa JMT kuanzia tar. 19 March 2021. Kwa uwezo na kipaji alichojaaliwa na Muumba, kisha weza kusafiri nje ya nchi kama ifuatavyo:
1. Uganda - 11 April 2021
2. Kenya - 4 May 2021
3. Burundi - 15 July 2021
4. Rwanda - 2 August 2021
5. Zambia - 24 August 2021
6. US - 20 September 2021
7. U K (Glasgow) - 30 October 2021
8. Misri - 10 November 2021
9. …………..

Tuendelee kuhuisha idadi hii kadri rais wetu atakavyojaaliwa.
Ana average ya kusafiri mara kila mwezi. Kama safari zake zina impact kwa manufaa kwa taifa, lakini kama la, wasaidizi wake kama mabalozi na mawaziri wanaweza kufanya kazi niaba yake. Msafara wa Rais nchi za nje sio mchezo. Chukulia mfano msafara alioenda Zambia kwa ajili kuapishwa Rais mpya Hichilema, ni watu wangapi waliongozana naye. Hata wajumbe wa CCM walikuwemo.
 
Ongeza na hizi ,22 juni 2021 alienda Msumbiji kuhudhuria mkutano wa dharura wa SADC.
16 August 2021 alienda Malawi kuhudhuria mkutano wa SADC.

Samia anapenda kusafiri nje ya nchi ana miezi 8 madarakani lakini mikoa mingi ya Tanzania hajakanyaga.

Ni Vasco da Gama wa kike.
Mkuu,
Alienda SADC kama mjumbe siyo kama mgeni, aidha, Msumbiji na Malawi kwa nyakati hizo hazikuwa na official state visit toka Tz; ambayo ni bilateral (nchi na nchi) badala yake multilateral (SADC/nchi 16). Tumtendee mama haki anayostahili, hivyo hesabu za 8 kwa 10 (idadi ya miezi ya kutamalaki nchi dhidi ya idadi ya ziara) inaweza isiwe hoja sana mkuu.

Katika ziara 10 alizofanya, ziara 4 ni za mikutano ya jumuiya za kimataifa (UN, Uskochi, SADC X2), ni ziara 6 tu ndizo za mahusiano ya kimataifa kati ya nchi na nchi (Tz na UG, RW, KE, ZM, BI & EG). Hii ni formula ya Lumumba.
 
Ana average ya kusafiri mara kila mwezi. Kama safari zake zina impact kwa manufaa kwa taifa, lakini kama la, wasaidizi wake kama mabalozi na mawaziri wanaweza kufanya kazi niaba yake. Msafara wa Rais nchi za nje sio mchezo. Chukulia mfano msafara alioenda Zambia kwa ajili kuapishwa Rais mpya Hichilema, ni watu wangapi waliongozana naye. Hata wajumbe wa CCM walikuwemo.
Magufuli alivyoacha kusafiri ilikuwa nongwa kwamba ame-disconnect Tz na dunia, Mama anasafiri ku-connect Tz na dunia inakuwa nongwa Baghosha!
 
Samia amekuwa ni rais wa JMT kuanzia tar. 19 March 2021. Kwa uwezo na kipaji alichojaaliwa na Muumba, kisha weza kusafiri nje ya nchi kama ifuatavyo:
1. Uganda - 11 April 2021
2. Kenya - 4 May 2021
3. Burundi - 15 July 2021
4. Rwanda - 2 August 2021
5. Zambia - 24 August 2021
6. US - 20 September 2021
7. U K (Glasgow) - 30 October 2021
8. Misri - 10 November 2021
9. …………..

Tuendelee kuhuisha idadi hii kadri rais wetu atakavyojaaliwa.
Huyu ndio atakuwa rais wa kwanza Tanzania kuondolewa kinga ya kushitakiwa kutokana na namna anavyostawisha chuki na visasi kisha wasaidizi wake wote kuburuzwa mahakamani kwa kesi zitazoainishwa baadae
 
Back
Top Bottom