Safari za kikwete moja ya sababu za kuongezeka deni la taifa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari za kikwete moja ya sababu za kuongezeka deni la taifa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tangopori, Jun 20, 2012.

 1. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,613
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Habari zenu wanajf
  safari za kila mara za rais kikwete zimekuwa ndo chanzo kikubwa cha deni letu la taifa kwani kila akienda nje anakuwa beneti na bakuli la kuombea misaada na akifika kule anaanza kuelezea tanzania kama vile nchi isiyokuwa na chochote wakati anaowaelezea utajiri wao wameupata huku kwenye nchi zetu za kiafrica. cha ajabu mtu anayeenda kuomba msaada amekaa 'bussines class' kwenye ndege wakati balozi anayetumwa kuleta huo msaada 'anakaa economy class'
   
 2. B

  Blessing JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenzetu wanavyo safiri awaendi na vijembe kama hata houseboy yakufanya nini ??? Huyo KIKWETE amesomea Uchumi wapi jamani... mbona anafanya mavitu vya ajabu ajabu kama mtoto mdogo ??? He has to pay the loan otherwise we will teach him a lesson kutuacha kwenye madeni which hata vituku na vilembwe awataweza kulipa
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  inasikitisha kuona kuwa safari moja ya MUKULU ni kama tsh million 400..kwa safari za kila siku za jk kwa mwaka mmoja sidhani kama anatumia chini ya tsh billion 10 sawa na bajeti ya wizara mojawapo hili ni janga kubwa sana
   
 4. M

  Masabaja Senior Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Niliwahi kusema humu JF kuwa Kikwete ni JANGA LA KITAIFA
   
 5. M

  Masabaja Senior Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na ndugu zangu watanzania wakristo kwa waislamu na wasiokuwa na dini tumuombe Mungu wetu atuondolee hili JANGA KUBWA AMBALO HALIJAWAI KUTOKEA MAHALA POPOTE DUNIANI TOKA DUNIA IMEUMBWA ILA LIMEKUJA KUIKUMBA NCHI YETU TANZANIA LAZIMA TUMLILIE MUNGU ATUONDOLEE HILI JANGA KUU.
   
 6. B

  Bob G JF Bronze Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni aibu kubwa kwa Tanzania kua ombaomba, anatutia aibu, kama anaona ni vizuri kuwa ombaomba nae tumkute kwenye mataa ya Chang'ombe akiombaomba! we mtu na akiliyako unakua ombaomba Aibu!
   
 7. F

  FUSO JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  yule jamaa aliyekuwa engineer wa kuchora mchongo wa kuzipiga zile nauli za jamaa, angefanikiwa angetakiwa apewe tuzo kwa hisani ya watu wa tanganyika -- wote mnajua bila nauli hakuna safari..
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Pokea 'like' mkuu
   
 9. k

  kindafu JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280

  Mkuu Bob, mbaya zaidi mtu anakwenda kutembeza kibakuli lakini utashangaa huo msafara wake! Tungalikuwa na demokrasia ya kweli tungalidai iundwe Tume kuchunguza kila safari yake ya nje aliandamana na nani na ajili gani, iligharimu kiasi gani, na returns zake zilikuwa nini! Mungu ibariki Tanzania!
   
Loading...