Safari za JK na kauli ya Godbless Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari za JK na kauli ya Godbless Lema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lyangalo, Jul 7, 2012.

 1. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Wakuu naomba tuunganishe hizi doti:
  1. Raisi amekuwa akisafiri sana nje na wakati mwingine bila taarifa za maana. Hata kama hapa nyumbani kuna matitizo makubwa lazima atasafiri achilia mbali mambo anayokwenda kufanya kutokuwa na muhimu au umuhimu wa uwepo wake.
  2. Afya yake imekuwa haieleweki. Chukulia ambavyo amekuwa akianguka majukwaani.
  3. Kauli ya Mh. Lema kuwa "unaweza kuficha kuzini lakini huwezi kuficha ukiugua ukimwi".
  4. Udhaifu katika kushughulikia wezi.
  Maswali yangu:
  Je kunauhusiano wowote kati ya maradhi ya rais na safari zake? Yawezekana huwa anakwenda kubadili damu!
  Je kuna uhusiano wowote kati ya maradhi ya rais na mafisadi? Yawezekana wanamtishia kuyafichua endapo atawatosa?
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Duh hili zito..arusha tumemmis Rais wetu kamanda lema
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Anajenga chama leo sijui anaelekea wapi nimepishana naye mitaa ya mlimani city
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135

  Tukiwakamata mafisadi nchi haitatawalika LOL:pound:
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Linaumwa ngoma hilo lirahisi lenu la kinyinyiem dhaifuuuuuuuuuu
   
 6. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii ni nzito sana kumeza, Duh en wei, let's wait waje waseme
   
 7. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kuna kaukweli mahisi sio bure
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Kama kuna ukweli hapo!
   
 9. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Rais amesafiri kwa wastani wa tripu/safari 330 tangu aingie madarakani(as per JB). Ukichukua wastani wa siku 3 kwa kila safari, unapata jumla ya siku 990 kwa miaka yake 7 na kitu aliyokaa madarakani. Ukigawa kwa 366 za mwaka mmoja ni sawa na miaka 2.7 akiwa nje ya nchi. Kwa hiyo, rais amekaa nje ya nchi zaidi ya Miaka 2 akifanya kazi ya kuomba omba. Hii ni aibu na udhaifu wa hali ya juu kwa mkuu wa nchi. Hapa hatujagusa gharama alitumia Rais na msfara wake - hata hivyo, si bure sana, tumefaidi neti za mbu za Bush. Huo ndio ukweli, wala hamhitaji kunitumia watu wanaotoa makucha na meno yangu.
   
 10. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Huyu hapa anacheza bao na afya yake iko safi kabisa

  [​IMG]
   
 11. C

  CAY JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  uwezekano huo upo!!
   
 12. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,003
  Trophy Points: 280
  Lema kamanda wetu amejitolea kwa ajili ya kuwakomboa watanzania tumwombe Mungu amulinde kwan mafisadi wanataka wapoteze kwa 7 ya kufichua maovu yao
   
 13. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kweli JF siku hizi imefilisika mawazo, hebu angalia type ya michango ya members wake, maskini maskini naionea huruma JF imekufa kifo kibaya sana

   
 14. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  thread haina mwelekeo
   
Loading...