Safari za Fastjet

Singa Singa

Member
Dec 12, 2014
47
46
Habari nzenu wakuu

Jamani nataka kwenda Joberg S.A nimeangalia online booking zao ila nasiaki nauli wanazotangaza ni tofauti unapoenda kwenye kukata ticket,Mwenye uzoefu na safari hizi Please anipe mwankidogo
 
Fanya Booking online ujaze Particulars zako, bei haiwezi kubadilika. Ukishalipia ticket yako kwa price uliyofanyia booking haiwezi kubadilika.
 
Andaa 4700$, Mambo mengine juu yako hakuna msosi. Saith African air ways andaa 550$. Kilakitu free hiyo nika inaenda Johannesburg.
 
Mbona unam mislead huyo mkuu? $ 4700 anaenda California kwa first class nini !
Singa singa nauli inategemea umefanya booking lini na siku ya safari lini, ukikata mapema sana mfano miezi miwili kabla ya safari inakuwa rahisi mno chini ya $ 300 kwenda na kurudi DAR-JOBURG ...Ukikata online hakuna badiliko lolote.
 
Nimakosa ya vidole mkuu ni 470$, kwa fast jet. Lakini hiyo 300 unayosema am not sure labda wananiibia.
 
Habari nzenu wakuu

Jamani nataka kwenda Joberg S.A nimeangalia online booking zao ila nasiaki nauli wanazotangaza ni tofauti unapoenda kwenye kukata ticket,Mwenye uzoefu na safari hizi Please anipe mwankidogo

Nauli za fastjet ziko chini sana nauli kwa return ticket ni tsh 374,170 ikiwa na kodi SA nauli ziko chini sana wapigie 0784 108 900 au ingia www.fastjet.com watakuhudumia.
 
Hawa ma agent wa fastjet ni wezi sana nilikata tkt kwa agent kahama ya one way kutoka mwanza - dar ya siku hiyohiyo ikiwa ni mama na mtoto miaka 3 waka charge shs 490,000.-
 
Walikucharge pesa ndogo sana mkuu. Au walikuwa wanashukia njiani?
 
We remote ukitaka kalipie kwenye ofisi zao kabisa usiende kwa wakala utaumia,nimekata juzi nililipia laki na sabininatisa
 
Wala si uongo na ukiwa lalamikia ofisi zao wanakwambia urudi huko huko kwa agents. Ni watu wa ajabu sana.
 
Sijafaham Vodacom wana agreement gani na FastJet, ukitumia mtandao wa Vodacom (simu au modem yao) kubook online ya FJ unakuta fare iko chini kuliko ukitumia mitandao mengine..sijui kama kuna mtu kagundua kitu hicho..!
 
Back
Top Bottom