Safari yangu ya Treni kutoka Dar mpaka Moshi ilivyokuwa

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,628
Za masiku jf

Kwanza naomba mods msiunganishe huu uzi tafadhali maana huu ni uzi kuntu wenye foundation yake

Tuanze:-

Nilileta uzi huu humuu kuulizia kuhusu utaratibu wa kusafiri kwa tren kutoka Dar to moshi

Naomba kujuzwa utaratibu na nauli ya Treni kutoka Dar to Moshi - JamiiForums

Hatimaye nikajua utaratibu wa tren siku za safari ya kwenda moshi ni jumatatu jumatano na ijumaa

Hatimaye na mimi jumatano nikaenda na mimi nikapande

Nilifika kituo cha treni cha Kamata pale kariakoo mnamo muda wa saa 8 na hatimaye nikakata ticket yangu ya daraja la tatu ambapo ni shilingi 16500 tu.unaweza kukata ticket online au palepale

Baada ya kukata ticket pale,tukaambiwa tusubiri safari inaanza saa kumi hata ticket iliandikwa muda wa kuondoka ni saa 10

Ilivyotimu saa 10 nikashangaa kimya tu kuuliza wakasema mpaka saa kumi na nusu.Saa kumi na nusu ilifika watu wakaanza kujisogeza sogeza na mabegi yao ili wasubirie.

Cha ajabu tren tuliambiwa tusubirie mpaka saa 11 tena yaani badala ya saa kumi ni saa 11 watu tulichokaa

Saa 11 ilifika kimya,saa kumi na mbili kimyaa,saa moja kimyaa ,nawambia saa mbili na madakika huko ndo tren ilisogezwa watu hata hawakuongoja waambiwe pandeni walivyochoka kusubiri toka saa 6 mchana walipanda wote.

Tren ya dar moshi mabehewa ni mazuri sana kama mpya mpya vilee siti za kumwaga full bata mziki tatizo ni mwendo wake ni slow sana na pia wanachelewa sana kuondoka na kusimama simama kwa madakika kibao njiani
Changamoto kubwa ni kuchelewa safari ya saa kumi inageuzwa saa 3 usiku leo nawasilisha hili na Trc mjirekebishe,haiwezekani mtu anataka ticket wengine hata siku kadhaa kabla ya safar anawasili kituoni saa 8 mchana km mnavyowambia watu wawasili muda huo kwa ajili ya safari ya saa kumi km ticket ilivyoandikwa badala yake mnakuja kuondoka karibia saa tatu usiku inakera sanaaah tena sanaa hamuendi kwa muda kwanini?

Changamoto nyingine ni vyakula jamani huwa wanakua na wali na chipsi tu looooh chipsi nyama za 3500 hazifananiiii yaani ni chipsi kavu na vinyama vichache

Wali nyama 3500 haufananii kabisa na hiyo bei ghali halafu msosi wenyewe hauna hadhi hata ya kuuzwa buku jero

Wekeni vyakula vya aina nyingi, ugali,wali,dagaa,samaki,chapati,maharage,supu,mtori,nk
Halafu hebu uzeni vyakula kwa bei ya kizalendo basiiii ghali lakini kisichokua na hadhi ndo nini?Punguzeni bei ya vyakula jamani khaa

Tuliondoka dar saa mbili na robo usiku tunafika moshi saa 7 mchana huko looooh...Yaani masaa mengi mnoo.

Halafu mwendo wa tren hii ni slow sana jamani jitahidini sana kwenda kwa wakati km ni saa kumi iwe saa kumi kweli sio saa 3 usiku

BeautyPlus_20200326092405495_save.jpeg
IMG_20200326_105428.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliondoka dar saa mbili na robo tunafika moshi saa 7 mchana huko looooh...Yaani masaa mengi mnoo.

Halafu mwendo wa tren hii ni slow sana jamani jitahidini sana kwenda kwa wakati km ni saa kumi iwe saa kumi kweli sio saa 3 usiku

View attachment 1402125View attachment 1402126

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukipanda yatch husisahau pia kuleta mrejesho
 
Wanaunganisha reli na wanabadilisha na kuweka vyuma vioana na imara zaidi ili likimbie, spidi ya sasa la abiria ni 50km per h na mizigo ni 35kph, baada ya haya marekebisho la abiria litatembea 80kph na mizigo litakiwa 50kph

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za masiku jf

Kwanza naomba mods msiunganishe huu uzi tafadhali maana huu ni uzi kuntu wenye foundation yake

Tuanze:-

Nilileta uzi huu humuu kuulizia kuhusu utaratibu wa kusafiri kwa tren kutoka Dar to moshi

Naomba kujuzwa utaratibu na nauli ya Treni kutoka Dar to Moshi - JamiiForums

Hatimaye nikajua utaratibu wa tren siku za safari ya kwenda moshi ni jumatatu jumatano na ijumaa

Hatimaye na mimi jumatano nikaenda na mimi nikapande

Nilifika kituo cha treni cha Kamata pale kariakoo mnamo muda wa saa 8 na hatimaye nikakata ticket yangu ya daraja la tatu ambapo ni shilingi 16500 tu.unaweza kukata ticket online au palepale

Baada ya kukata ticket pale,tukaambiwa tusubiri safari inaanza saa kumi hata ticket iliandikwa muda wa kuondoka ni saa 10

Ilivyotimu saa 10 nikashangaa kimya tu kuuliza wakasema mpaka saa kumi na nusu.Saa kumi na nusu ilifika watu wakaanza kujisogeza sogeza na mabegi yao ili wasubirie.

Cha ajabu tren tuliambiwa tusubirie mpaka saa 11 tena yaani badala ya saa kumi ni saa 11 watu tulichokaa

Saa 11 ilifika kimya,saa kumi na mbili kimyaa,saa moja kimyaa ,nawambia saa mbili na madakika huko ndo tren ilisogezwa watu hata hawakuongoja waambiwe pandeni walivyochoka kusubiri toka saa 6 mchana walipanda wote.

Tren ya dar moshi mabehewa ni mazuri sana kama mpya mpya vilee siti za kumwaga full bata mziki tatizo ni mwendo wake ni slow sana na pia wanachelewa sana kuondoka na kusimama simama kwa madakika kibao njiani
Changamoto kubwa ni kuchelewa safari ya saa kumi inageuzwa saa 3 usiku leo nawasilisha hili na Trc mjirekebishe,haiwezekani mtu anataka ticket wengine hata siku kadhaa kabla ya safar anawasili kituoni saa 8 mchana km mnavyowambia watu wawasili muda huo kwa ajili ya safari ya saa kumi km ticket ilivyoandikwa badala yake mnakuja kuondoka karibia saa tatu usiku inakera sanaaah tena sanaa hamuendi kwa muda kwanini?

Changamoto nyingine ni vyakula jamani huwa wanakua na wali na chipsi tu looooh chipsi nyama za 3500 hazifananiiii yaani ni chipsi kavu na vinyama vichache

Wali nyama 3500 haufananii kabisa na hiyo bei ghali halafu msosi wenyewe hauna hadhi hata ya kuuzwa buku jero

Wekeni vyakula vya aina nyingi, ugali,wali,dagaa,samaki,chapati,maharage,supu,mtori,nk
Halafu hebu uzeni vyakula kwa bei ya kizalendo basiiii ghali lakini kisichokua na hadhi ndo nini?Punguzeni bei ya vyakula jamani khaa

Tuliondoka dar saa mbili na robo tunafika moshi saa 7 mchana huko looooh...Yaani masaa mengi mnoo.

Halafu mwendo wa tren hii ni slow sana jamani jitahidini sana kwenda kwa wakati km ni saa kumi iwe saa kumi kweli sio saa 3 usiku

View attachment 1402125View attachment 1402126

Sent using Jamii Forums mobile app
Treni hiyo reli zake za mkoloni wakifanya marekebisho spidi wataongeza.

Mkuu treni inakimbia siku jaribu kupanda treni express ya Tazara ukashuke hata Ifakara utaona jinsi inavyokwenda mbio na haisimami ovyo.
 
Back
Top Bottom