Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,401
- 79,638
Hiyo naelewa mkuu ..lilikuwa ni tunda halisi na si tendo la ngono.Haahhahahaha umeniacha hoi mami kwa swali lako
Ila kuongezea kutoka kwenye swali lako ni kwamba tunda ambalo Adamu alikula ji tunda kama matunda mengine tu yaani tunda halisi na si tendo ka ndoa kama wengi waaminivyo
Kwa sababu kama ulivyouliza amri ya kuzaana na kuwa wengi ilitolewa hata kabla amri ya kula tunda haijatoka ikimaanisha kufanya ngono ilikuwa ni ruksa Mungu aliruhusu ili Adamu na Hawa waweze kuzaana
Lakini pia maandiko yanaonesha kuwa Nyoka alimshawishi hawa peke yake Adamu hakuwepo,hivyo hawa alikula tunda peke yake kwanza kisha akaja mume wake akampa naye kala
Kwa muktadha huu basi ni wazi kuwa tunda si tendo la ndoa ila tunda halisi japo maandiko hayataji ni tunda gani
Sent using Jamii Forums mobile app