safari yangu ya mtwara

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,744
picha hizo ni vijimambo vya kile kipande cha masaa mawili toka bonde la rufiji hadi somanga kilomita 60 hivi
 

Attachments

  • 1.JPG
    1.JPG
    550.9 KB · Views: 466
  • 2.JPG
    2.JPG
    682.8 KB · Views: 154
  • 3.JPG
    3.JPG
    522.7 KB · Views: 406
  • 4.JPG
    4.JPG
    469.9 KB · Views: 151
  • 5.JPG
    5.JPG
    475.7 KB · Views: 127
namba kumi hapo ni mlinzi wa gesti niliyofikia. so comfortable
 

Attachments

  • 10.JPG
    10.JPG
    357.7 KB · Views: 359
  • 9.JPG
    9.JPG
    895.7 KB · Views: 100
  • 8.JPG
    8.JPG
    643.3 KB · Views: 92
  • 7.JPG
    7.JPG
    784.9 KB · Views: 398
  • 6.JPG
    6.JPG
    1.2 MB · Views: 309
hiyo ya 11 ni pale mikindani, na hicho chungu ni balaa na kina historia ndefu. uzito wake waweza kufikia kilo mia maana wadau tulijaribu kukibeba tukashindwa. hicho kilitulimika kupima ubavu wa watumwa kuona kama wanafaa kutumikishwa. akibeba hicho huyo ni KIDUME!

hiyo ya mwisho ni pale bandari club na bendi ya nyumbani ikitumbuiza. ilikuwa burudani tupu
 

Attachments

  • 11.JPG
    11.JPG
    188.4 KB · Views: 368
  • 12.JPG
    12.JPG
    611 KB · Views: 355
hahahahahah kwa kweli huyu mlinzi kaniacha hoi mno, hawa jama wakitoka lindoni huwa wanafanya tena kazi mchana kutwa, usiku anakuja linda matokeo yake ndo haya
 
attachment.php

Asante kwa picha nzuri mkuu, ina sikitisha sana kuona bara bara ni mbovu kiasi tena,Mtwara kumesahulika sana kama kigoma umeme wenye wa shida yaani hadi kero kuishi huko.
 
attachment.php

Asante kwa picha nzuri mkuu, ina sikitisha sana kuona bara bara ni mbovu kiasi tena,Mtwara kumesahulika sana kama kigoma umeme wenye wa shida yaani hadi kero kuishi huko.

hicho kipande kipo pwani nadhani, pamoja na lindi. kwa nilivyoiona hiyo road, itachukua kama miaka mitatu au zaidi kukamilika
 
Nimeipenda sana hiyo bendi ya wazee,
ila saizi ya picha zako ni kubwa sana kiasi kwamba kwa sisi tunaotumia browser za kawaida tunapata picha.
 
Back
Top Bottom