hamisi nondo
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 192
- 172
wakuu habarini.nimeamua kuachana na lotion na kuanza bidhaa za asil.nilianza kutumia mafuta ya almond kwel baada ya siku kadhaa,,niliona mabadaliko ngozi yang ilianza kubadilika kuwa lain ila cha ajabu ikawa inakua nyeusi ila soft hapo ikanibidi nistop kutumia almond oil..nikapumzika kama wiki,,nikahamia kwenye olive oil pia nikawa napata matokeo yaleyale ya almond,,nikaja kwenye ya nazi pia mambo ni vilevile,,ktk kudodosa mitandaon nikaja kukuta kumbe mafuta hayo ukipaka unatakiwa ukae mbal na jua maana ukipgwa na jua yanasabisha ngoz kuwa nyeusi kwani jua linakua linayaunguza kwahyo ni mazuri kupaka usiku wakat wa kulala kisha asubuh unaoga unapaka mafuta mengine,,,sio kwamba weus ni mbaya hapana ila nataka kuwa na ngoz yang niliyozaliwa nayo sio nyeus wala sio nyeupe,,,kwa sasa nimeamia kwenye mafuta mengine mustard oil yananuka kama korie bado sijaanza kuona dosar zake haya yakileta shida naingia kwenye jojoba ,,kwa wale wazoefu wa haya mambo nakarbisha mawzo yenu na kama kun sabuni pia nifahamishen ila kwa sasa naogea sabun ya magadi alafu ngozi yangu pia haielwek kuna kipind napauka kama cjapak mafut na kuna kipind naweza nispake mafuta hata wki cpauki hasa kipindi cha joto