Safari yangu katika jimbo la HAI (Jimbo la Mh Mbowe)

Ungeenda mpanda kwa Mizengo pinda au mbona hujapita monduli kwa Lowasa ulivyotoka Karatu acha unafiki wewe....maendeleo yaliyopatikana kukiwa chama tawala hakiongozi jimbo ni ishara tosha CDM wakichukua dola mabadiliko yataongezeka maradufu......kama umetumwa na unatumiwa basi jua siku zenu zinahesabika...sasa kabla hamjafikia tamati ungeenda na bagamoyo hadi kijijini Msoga halafu utupe report za huko pia........:rip:CCM.
 
Mbona huji huku kwenu unakodaiwa madeni lukuki na umeyakimbia? Mbona una adabu hata kwa maendeleo yaliyopatikana katika majimbo unayokwenda?
 
umeona eeh? Nitaenda pia kujionea coz huko ndiko maandamano makubwa yalipofanyika so nitakuwa na uwanja mpana kuasses contribution ya maandamano hayo katika kukwamua wananchi kama hao,

Kijana mtandao unakudanganya. Hakuna maandamano yoyote ya CCM au CHADEMA yaliyowahi kufanyika Moshi, Karatu, Hai,Rombo na pengine ulipodanganywa.Maandamano yalishafanyika Arusha, Mwanza, Iringa, Shinyanga. Kama unakuja Hai usiishie Bomang'ombe ukumbuke kwenda,Mtakuja,KIA,Rundugai,Magadini,Kware,Mula,Kisiki,Ng'uni, Tema,Roo,Mbatakero,Mashua,Kimashuku,Narumu,Weruweru,Mfuoni,Kikafu,Sawe,Sonu,Mudio,Mbosho,Lemira,Ofishi,Machame kati,Maili sita,Mnadani,Kwasadala,Mbweera,Mbwashini,Kirumbiu n.k ndio uje na upupu wako kwamba hamna maendeleo. Nina hakika hata Rostam hakupi fungu la kukufikisha kote huko. Awamu iliyopita uliijaji Karatu kwa kutumia barabara ya kwenda loliondo. Kwa ushauri tu ungeweza kukaa huko ulipo kisha ukawatafuta watu kutoka huko Hai wakakupa picha ya kulivyo.Vinginevyo utuambie kuwa toka kipindi kile ndio umepata huduma Loliondo na uko njiani kurudi Tanga kupitia Hai.

Best signature.:
No research no right to speak Kashanga.
 
kaka hayo maeneo yote unayoyasema nayafahamu sana,hapo mnadani karibu kabisa na machine tools ndio mengi anajenga hosptili ile kubwa ya moyo,maili sita ndio usiseme kabisa kwahiyo kuwa na subira acha niende tena nikaone kasi ya maendeleo iliyoletwa na bwana mbowe!
 
Hai ni moja kati ya wilaya zenye maendeleo makubwa sana ndani ya Tanzania...
 
kaka hayo maeneo yote unayoyasema nayafahamu sana,hapo mnadani karibu kabisa na machine tools ndio mengi anajenga hosptili ile kubwa ya moyo,maili sita ndio usiseme kabisa kwahiyo kuwa na subira acha niende tena nikaone kasi ya maendeleo iliyoletwa na bwana mbowe!

Ni kweli unayafahamu kwa vile yako kando ya barabara kuu. Mbona hayo ya ndanindani husemi kama unayajua?
 
baada ya kuwajuza yale yaliyoonekana jimboni karatu ambako nashukuru wengi wenu mlichangia maoni mbalimbali na kwa taharifa nilizopata mbunge wa karatu ameanza kufanyia kazi zile kero zilizoripotiwa,na imenifanya kuona kwamba JF inafikisha ujumbe kwa haraka sana. kutokana na hilo wakati wowote kuanzia sasa nitakwenda jimboni Hai kuona kasi ya maendeleo inayoletwa na mh MBOWE na pia kutathmini FAIDA za maandamo yaliyofanywa na CHADEMA, na ni kwa jinsi gani maandamano ya CDM yamewanufaisha wananchi wa kawaida wa HAI na majimbo jirani! ASANTENI

Nazani fuyandumi yule mbunge wa hai aliyeangukia pua kwenye uchaguz mkuu kakutuma!kama ndivyo mwambie wanahai hawampendi ndio maana hawakumchagua kutokana na ububu wake bungeni,n.k so akafute kesi mahakaman ya kupinga ushindi wa mbowe hamna aliemchakachua kajichakachua mwenyewe kwa kutofanya maendeleo jimbo lake nakuamishia maendeleo hayo nyumban kwake,so hao hao wanyumban kwake ndio wamempa kura..we mbowe yuko juu hajamaliza hata mwaka ila maendeleo mpaka basi.ushaur binafsi "mind ur own business"
 
Kashanga we nenda bana, katuletee taarifa kamili ili tujue kama viongozi wetu wanatimiza wajibu wao, jitahidi kuweka uwiano sawa. Mfano Ukitembelea kwa Mwwenye kiti Taifa wa CDM, tembelea pia na vyama vingine kama CCM, CUF,NCCR, UDP na TLP ili tujenge hoja vizuri mkuu, ukiamua kutembelea makatibu wakuu wa vyama itakuwa bora zaidi kutumia mtindo huo huo Au hata wabunge.

Inabidi pia tujenge hoja nzuri ya kuweka na factors mhimu kama
(1) Muda wa Kiongozi kukaa madarakani
(2) Uwezo wa kuongoza
(3) Nafasi aliyo nayo katika chama husika au katika taifa nk.
 
good contribution,ingekuwa wote tunatoa michango kwa dizaini hii basi nchi yetu ingekuwa mbali sana
 
Wahaya wa MJINI hawa. Kwa nini usiende kwenu Buzi, Kituntu, Kashelelo, Nyakanyasi, Kabuteigi, Makarwe, Katoma, Bugandika, Bushangalo ....ili uone yaliyofanywa na wabunge wa CCM kina Mushana, Mwaijage, Tibaijuka, Kategire, Blandes na Rweikiza?

Kama hampajui kwenu, msijiite majina ya Kihaya. Majina yenu ya Dar yapo: Semeni, Fujo, Dula, Bob J, Majuto, Mmegani, Baba Wawili,.....
 
baada ya kuwajuza yale yaliyoonekana jimboni karatu ambako nashukuru wengi wenu mlichangia maoni mbalimbali na kwa taharifa nilizopata mbunge wa karatu ameanza kufanyia kazi zile kero zilizoripotiwa,na imenifanya kuona kwamba JF inafikisha ujumbe kwa haraka sana. kutokana na hilo wakati wowote kuanzia sasa nitakwenda jimboni Hai kuona kasi ya maendeleo inayoletwa na mh MBOWE na pia kutathmini FAIDA za maandamo yaliyofanywa na CHADEMA, na ni kwa jinsi gani maandamano ya CDM yamewanufaisha wananchi wa kawaida wa HAI na majimbo jirani! ASANTENI

Baada ya kudanganya kuhusu karatu, sasa unajiandaa kutudanganya kuhusu jimbo la hai. Mi nakushauri ufanye lile alilokushauri Nanyaro. Utuombe radhi kwa uongo wako kuhusu karatu halafu ndio tutaweza kukuamini utakapo tuletea lingine.
 
Nikiwa nimepata likizo fupi, niliamua kwenda mkoani kilimanjaro kwa ajili ya kupanda mlima wetu maharufu wa kilimanjaro, nikiwa huko niliweza kupata fursa ya kutembelea majimbo ya mkoani kilimanjaro ila nilitaka kuona kwa macho yangu jimbo la HAI la MH MBOWE MWENYEKITI WA CDM TAIFA! kwakweli niliyoyaona huko hayaendani kabisa na mbwembwe za huyu jamaa anayetembea nchi nzima kuhubiri maendeleo na demokrasia, vijana wa pale machine tools wamekata tamaa na maisha, mbunge wao anashindwa kufanya yale aliyowahidi, wakazi wa kimashuku mnadani wanalia shida ya maji, wakazi wa uroki hali yao kiuchumi na kipato iko mbaya, wengi wao wanalia na wanajuta kumchagua Mbowe! wengi walisema kuwa Mbowe sio kiongozi mbaya ila ni kwamba yupo bize sana na mambo ya taifa na kuwasahau wapiga kura wake! walisema kama Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, basi 2015 watachagua mtu mwengine atakayekuwa karibu nao

nilifika hotelini kwake AISHI-PROTEA HOTEL... kwakweli Mbowe ni Bepari kwa mtanzania wa kawaida kumiliki ile hoteli sidhani kama ni rahisi....wakazi wa maeneo ya pale hawawezi kwenda kuingia kwa ile hoteli, wengi niliyowaona ni wazungu na raia wengine wa kigeni, kulikuwa na umuhimu gani kujenga hoteli kubwa kule kijijini kwake ilhali wapiga kura wake hawawezi kwenda hata kununua soda au chai?
 
Mkuu Je Ujenzi wa Hiyo hoteli yake kuna Pesa ya walipa Kodi humo? kama hakuna piga kimya? wewe ulitaka ajenge hoteli ya aina gani?

- Kuhusu Vijana wa Mashine Tools, huo ni Uongo Mkubwa kabisa, Watu wa Kule Machame wanajishugulisha sana, sio kama wa huko kwenu kazi kucheza Ngoma tu

- By the way Mbowe Hakusanyi Kodi, Ulitakiwa Uulize Serikali ya Chama cha Mapinduzi make ndo wanao kusanya Kodi kutoka kwetu
 
kwani hapa unaongelea vijana waliokosa ajira au hoteli kujengwa kijijini.? Kama swala ni hoteli hushangai anamiliki bil's katikati ya mji unajua inathamani gani na inaingiza sh.ngapi kwa siku.!
 
haya tumekusikia.... tupe na tathmini ya jimbo a mwenyekiti wako wa nyinyiem....mheshimiwa dhaifu afu tulinganishe...

Yeye kajenga MAHEKALU yanakaa MAPANYA mwenziye kajenga HOTELI inakaa watalii:

msoga.jpg
 
Mbowe ni jembe acha wivu
Nikiwa nimepata likizo fupi, niliamua kwenda mkoani kilimanjaro kwa ajili ya kupanda mlima wetu maharufu wa kilimanjaro, nikiwa huko niliweza kupata fursa ya kutembelea majimbo ya mkoani kilimanjaro ila nilitaka kuona kwa macho yangu jimbo la HAI la MH MBOWE MWENYEKITI WA CDM TAIFA! kwakweli niliyoyaona huko hayaendani kabisa na mbwembwe za huyu jamaa anayetembea nchi nzima kuhubiri maendeleo na demokrasia, vijana wa pale machine tools wamekata tamaa na maisha, mbunge wao anashindwa kufanya yale aliyowahidi, wakazi wa kimashuku mnadani wanalia shida ya maji, wakazi wa uroki hali yao kiuchumi na kipato iko mbaya, wengi wao wanalia na wanajuta kumchagua Mbowe! wengi walisema kuwa Mbowe sio kiongozi mbaya ila ni kwamba yupo bize sana na mambo ya taifa na kuwasahau wapiga kura wake! walisema kama Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, basi 2015 watachagua mtu mwengine atakayekuwa karibu nao

nilifika hotelini kwake AISHI-PROTEA HOTEL... kwakweli Mbowe ni Bepari kwa mtanzania wa kawaida kumiliki ile hoteli sidhani kama ni rahisi....wakazi wa maeneo ya pale hawawezi kwenda kuingia kwa ile hoteli, wengi niliyowaona ni wazungu na raia wengine wa kigeni, kulikuwa na umuhimu gani kujenga hoteli kubwa kule kijijini kwake ilhali wapiga kura wake hawawezi kwenda hata kununua soda au chai?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom