Safari yangu katika jimbo la HAI (Jimbo la Mh Mbowe)

tatizo unapita kujua matatizo piga kambi walau a month vinginevyo utaishia kupata maoni ya dereva au abiria ambayo hayaakisi hali halisi ya matatizo ya hai au kwinginepo unapotalii
 
hapana nitapita changaby,magereza,moshi technical,kibosho road,maili sita,mnadani,mashine tools hapo nitakunja hapo mkono wa kulia kuelekea machame,nitastop pale PROTEA HOTEL(hotel ya bwana Mbowe inavyosemekana) then nitaendelea na ziara yangu

Si ulipita pale ulipopanda mlima kwa udhamini wa Geita! Nilikuuliza ulikuwa unaenda kwa Babu kutokea wapi? Hukujua na wala hata sasa hujui karatu iko wapi kwenye Jiografia ya kichwa chako!
 
tatizo unapita kujua matatizo piga kambi walau a month vinginevyo utaishia kupata maoni ya dereva au abiria ambayo hayaakisi hali halisi ya matatizo ya hai au kwinginepo unapotalii

Emeana hadithi za kwenye gahawa paleee. Kuna watu wanajua kukariri na kujifanya wao ndo walienda huko!
 
Kashaga wewe ni dereva,kama siyo dereva kwanini usianzie kweli ambapo sasa hivi kiwango cha elimu kimeshuka sana.
 
Ukimaliza kuyaangalia maandamano na matokeo yake, fuatilia hotuba ya Kikwete ya mwezi februari ilivyopokewa na umma. tena fuatilia maombi ya JK kwa tanesco wapunguze bei ya kuwaunganishia wananchi umeme kwa bei 'nafuu' na kisha tufahamishe mafanikio ya JKM kutemebelea wizara

Du Mkuu
una nyundo nzito sana ya point, yani ulivyokomelea msumari wa mwisho umeniacha hoi
 
lets watch up.. .... kuna watu wametoka kwenye maforum ya hovyo hovyo ambayo yamedoda sasa wamekuja humu JF kwa makusudi kuharibu tuu ili JF ikose hadhi na lengo la JF la kujadili burning issues zinazohusu nchi yetu zizamishwe na kupotoshwa ... hebu fikiria hii nayo ni mada au ni mchemsho
 
Wakosa kazi Inji hii mpo wng! Home kwe2 2natafta h'boy njoo ujishkize kwa mda kulko hayo unayoyafanya bla malpo.
 
Mbowe kaingia sasa ana miezi kama minne hivi na wazazi wako ccm wamekuwa huko miaka karibia hamsini sasa utawezaje kulinganisha miezi na miaka? Vipi kule kwenu ambako mnaabudu ccm mmefikia wapi?
Hiyo ndio kasi ya maendeleo! Januari Makamba alifanyiwa hayo mwezi nyuma na watu wakarapu walivyotaka. Tusiwe Wabaguzi, Mbunge ni mbunge awe CCM au CHADEMA na wote tuwatendee haki. Kama ni suala la muda mfupi mbona wadogo wake Mbowe wameshafikia mpaka kupeleka Amulance majimboni mwao?
 
lets watch up.. .... kuna watu wametoka kwenye maforum ya hovyo hovyo ambayo yamedoda sasa wamekuja humu JF kwa makusudi kuharibu tuu ili JF ikose hadhi na lengo la JF la kujadili burning issues zinazohusu nchi yetu zizamishwe na kupotoshwa ... hebu fikiria hii nayo ni mada au ni mchemsho
Ama kweli misongo ya mawazo inawaumiza watu humu. Kwani mada kama hii ni ya mwanzo humu na kuchangiwa na watu wengi au tofauti ni kuwa humu tuwe CHADEMA tu? Basi bora anaetaka kujiunga kwanza aeleze namba ya kadi yake ndipo akubaliwe ili kuepusha huko unakokuita kuharibu. Lakini sishangai hiyo chini hapo inajieleza;
Join Date : 20th November 2010
Posts : 1,593
Thanks558Thanked 339 Times in 220 Posts

Rep Power : 24
 
Nani alikuteua uwe auditor wa CHADEMA? Nyie ndo wale mlioko kwny payroll ya serikal bila kuwa na output? Wananchi wa majimbo husika wanajua nin wanafanyiwa na wabunge wao.kuna kaz nying tu kama za kuokota chupa za maji,fund viatu,dobi kafanye.
 
hivi unaitwa kashanga au mashanga?hivi kwanini majimbo ya wabunge wa cdm tu?umeona ndo yana hali mbaya?vipi kwa ****** kwenye nyumba za makuti mpaka barabarani?
 
Kijana unajisumbua. Kama lipumba ametumwa mikoa ya pwani na wewe ukatumwa north kwa kazi ya ccm mmekwisha. Hata ivo maana ya ID yako hainipi shida. KASHAGA=Mwenye kiherere,kiburi,kushindikana,aambiliki,mtukutu,pompompo,mkorofi n.k ndo maana ya kashaga kwa kihaya. Waswahili wanaweza sema kashaga ni Kamezidi. Kashaga ni nani mpaka alete umbea woote huo? Eti anaenda moshi,Moshi ndo best Municipal afrika mashariki,kwa usafi,usafiri,barabara,ujenzi na watu wake,leo hii unaleta umbea,NINUKUU,HUU NDO MCHANGO WANGU WA MWISHO KWA MADA YAKO YA UMBEA.
 
umeona eeh? Nitaenda pia kujionea coz huko ndiko maandamano makubwa yalipofanyika so nitakuwa na uwanja mpana kuasses contribution ya maandamano hayo katika kukwamua wananchi kama hao,
Sijui unamaanisha nini unaposema "contribution ya maandamano hayo katika kukwamua wananchi kama hao"
Kama hicho ndicho unachomaanisha kama ulivyoandika, hutaona kitu physical!
Ila nakushauri ukifika Karagwe, tembelea radio Karagwe halafu uombe upewe kipindi uwaulize wananchi mafanikio ya maandamano ya CDM; ukirudi hayo utakayokuwa umeambiwa na wananchi uyaweke hapa; usiyachakachue maana najua radio karagwe watakuwa wanakurekodi, ukichakachua wanakuumbua!
 
tafadhali kashaga husituletee gundu mitaani kwetu , nenda kwenu bukoba , tembelea kanyigo, katerero, kyemanamugaza, izimbya,katoma, muleba na urudi mapema utujuze.:drum::redfaces::hug::brick:
 
Wewe nenda hai hakuna wa kukuzuia ila ukitoka huko uende na bumbuli and igunga pia..

Ila kama wewe ni mpenda mendeleo utupe ya ukweli.... Utakayoyapata huko..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom