Safari yako ndefu kuendesha gari bila kupumzika ni ipi?

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
4,316
8,013
Wakuu heshima kubwa sana kwenu. Nimekumbuka mengi sana tangu nimeanza kusafiri umbali mrefu kwa gari binafsi.

Safari zangu kila baada ya miezi 3 nafanya kati ya Dar na Mara kikazi na huwa nasafiri na gari yangu binafsi and nikiwa peke yangu. Napenda kuendesha usiku so hiwa naanza safari yangu dar es salaam saa kumi jioni.

Ninachofanya huwa natega pale maeneo ya veta kuna IT kibao nakula vichwa vyangu vy shinyanga ama mwanza ama musoma elf 50 naweka kibindoni laki 2. Huwa nafika musoma kesho yake mida ya saa saba mchana.

Ila huwa nina nusi saa ya kulala nikivuka singida maeneo ya shelui alfajiri. Bila kusahau energy 2 na kopo za lita na nusu za maji 2 za kumix energy nazinywa safari nzima polepole ili kukimbiza usingizi.
 
Wakuu heshima kubwa sana kwenu. Nimekumbuka mengi sana tangu nimeanza kusafiri umbali mrefu kwa gari binafsi.
Safari zangu kila baada ya miezi 3 nafanya kati ya Dar na Mara kikazi na huwa nasafiri na gari yangu binafsi and nikiwa peke yangu. Napenda kuendesha usiku so hiwa naanza safari yangu dar es salaam saa kumi jioni.
Ninachofanya huwa natega pale maeneo ya veta kuna IT kibao nakula vichwa vyangu vy shinyanga ama mwanza ama musoma elf 50 naweka kibindoni laki 2
Huwa nafika musoma kesho yake mida ya saa saba mchana.

Dar bkb halafu bkb dar
 
dah mie yangu from dar mpka congo
japo huko usalama ni 60% riski ya kutokea lolote ni 40%
 
Wakuu heshima kubwa sana kwenu. Nimekumbuka mengi sana tangu nimeanza kusafiri umbali mrefu kwa gari binafsi.
Safari zangu kila baada ya miezi 3 nafanya kati ya Dar na Mara kikazi na huwa nasafiri na gari yangu binafsi and nikiwa peke yangu. Napenda kuendesha usiku so hiwa naanza safari yangu dar es salaam saa kumi jioni.
Ninachofanya huwa natega pale maeneo ya veta kuna IT kibao nakula vichwa vyangu vy shinyanga ama mwanza ama musoma elf 50 naweka kibindoni laki 2
Huwa nafika musoma kesho yake mida ya saa saba mchana.
Ila huwa nina nusi saa ya kulala nikivuka singida maeneo ya shelui alfajiri. Bila kusahau energy 2 na kopo za lita na nusu za maji 2 za kumix energy nazinywa safari nzima polepole ili kukimbiza usingizi.
Kuendesha usiku kumenishinda! Siwezi, mie huwa natoka alfajiri kukimbia foleni!! Saa kumi na mbili hunikuta Chalinze huko au Msata.

Safari ndefu ni Iringa-Moshi kupitia Chalinze enzi hizo Iringa-Dodoma ni "rafu rodi" ya kutisha!!
 
Back
Top Bottom