Safari ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda India Sept 09 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda India Sept 09

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Invisible, Sep 13, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Sep 13, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Tanzania, one of Africa’s fastest-growing economies and home to around 40,000 persons of Indian origin, will intensify their cooperation in areas ranging from agriculture to UN reforms and terror during Tanzanian Prime Minister Mizengo K. Pinda’s four-day visit here starting Monday.

  Pinda, accompanied by senior ministers and officials, arrives here late Sunday night. External Affairs Minister S.M. Krishna will hold delegation-level talks with Pinda Tuesday on a wide range of bilateral and global issues.

  Pinda will also call on Vice-President Hamid Ansari.

  With East Africa reeling under the worst drought in a decade, the focus will be on agricultural cooperation and food security, official sources said. Northern areas of Tanzania have reported famine, but the country is relatively better off than its neighbouring country Kenya that has been hit hard.

  India is expected to provide assistance to Tanzania in the agriculture sector, specially in areas of irrigation and fertiliser, the sources said.

  India is also willing to partner Africa in its quest for better infrastructure, small and medium industries, education and health.

  Global issues like UN reforms and terrorism too will be important themes of discussion between India and Tanzania, the former chair of the 53-nation African Union.

  Pinda will also visit Ahmedabad and Vadodara, from where 40,000 Indians settled in Tanzania.

  India sees Tanzania as a “symbol of the evolving aspirations of a resurgent Africa”, in the words of former president A.P.J. Abdul Kalam who visited the East African country in 2004.

  Tanzania, home to the first commercial wind farm in sub-Saharan Africa, has shot 13 places up the World Economic Forum’s global economic competitiveness list, largely due to improved security and an improving environment for the private sector.

  Tanzania’s robust and steady economic performance, coupled with stability and strong institutions, have attracted considerable Indian business and investment.

  According to Tanzanian government statistics, during 1990-2006, 118 companies with “Indian interest” have invested $825 million in Tanzania.

  Reliance Industries Ltd has acquired a majority stake and management control of major oil company Gulf Africa Petroleum Corporation.

  Other major Indian companies with a presence in Tanzania include Bank of Baroda with branches in Dar es Salaam and Arusha; Air India; Tata International, which has a MoU with the National Development Corporation of Tanzania for setting up a soda ash factory at Lake Natron; and National Mineral Development Corporation.
   
 2. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Duh pamoja na mambo mazuri anayokwenda kufanya kwa ajili ya nchi yetu, lakini angalau awamu yake ya kutanua viwanja imefika.........manake naona jamaa walimdhibiti kweli akabaki kutembelea wilaya za Tanganyika tu!
   
 3. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Walikuwa wanagawanya sehemu za kwenda kuomba.. Kule mzinga wameua na sasa wanataka kwenda kuomba India, Sasa jamani hivi mimi naona afadhali wakati wa Nyerere kulikuwa na afadhali na Kilimo kuliko sasa.
   
 4. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Watajadili chochote chenye maana na hawa wakoloni wa leo?

  Je, watajadili jinsi ya kuvunja mkataba wa TRL ambapo kwa hali iliyopo unawanyonya watanzania.
  Mradi wa nagadi wa Natron una mgogoro mkubwa na wanakijani (mazingira) haswa kwa issu ya flamingo waishio mle. Je watafanya tathmni yakibifu kubaibisha umuhimu wa huo uwekezaji na hasara au faida zipatikanazo?

  Mikataba hii ya kimangungo ya Tanzania inaudhi sana,
  Miradi ya wah
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Wahindi siyo smart sana ktk miradi ya maendeleo nje ya nchi yao, wao wan target profit tu na wakisha pata wanaondoka na huwa hawapendi kuacha faida kwa mtu mwingine.

  Kama umemsikilza yule mama wa DRC anayefanya biashara ya unga wa ngano kutoka Tanzania anasema wahindi pale mjini bukavu ndo wanan control biashara ya unga wa ngano kwa hiyo wakijua kuwa wafanya biashara wadogo wameshusha mzigo kutoka TZ wao wanateremsha bei kwenye naduka yao ili wale wafanya biashara wadogo wafilisike. Na hii ndo tabia ya wahindi kwetu TZ hasa kwenye biashara kama ya petroli.

  Siku zote mhindi si mtu mzuri ktk biashara shindani na ndo maana wachaga hawawapendi mjini moshi. Angalia mji kama morogoro hauendelei kwa sababu ya wahindi waliopo.
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  sana sana walatela the new invention of Chavdas. Hakuna lolote huko ni kutafuta watengenezaji EPA tu!!
   
 7. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #7
  Sep 16, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  The Tanzania Prime Minister, Mizengo Pinda, has asked PT Rutan Company of Indonesia to send their experts to assess the possibility of assembling agricultural equipment such as tractors in Tanzania to enhance the Kilimo Kwanza program.

  He said this yesterday at the company's headquarters when he visited the company to see various agricultural equipment that are made by the company.'' I assure you that there is a lot of market as Tanzania is implementing the ' agriculture first ' program which goes together with the use of modern technologies in farming '' said the prime minister. Pinda added, '' Not only that the agricultural equipment market exists in Tanzania, but even in other seven surrounding countries such as Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Democratic Republic of Congo, Zambia, Malawi and Mozambique.''

  He argued that assembling the equipment in Tanzania particularly power tillers, would reduce their prices from the current range of eight to ten million. '' Tanzania needs more power tillers from the fact that we have more peasants,'' he further explained. The prime minister further directed the Minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives, Stephen Wassira to make sure that he works on the assignment so that Tanzania can collaborate with the company in future.

  Started in 1942, PT Rutan Company produces various farm equipment including tractors, power tillers, water pumps, irrigation machines, generators and aluminum fishing boats to mention but a few. The prime minister visited the company on his last day of the three day visit to Indonesia. Before that, he was in South Korea for the same purpose. He expects to be back in the country on September 18, this month.

  He was accompanied by the Minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives Stephen Wassira, the Minister for Agriculture, Livestock and Environment from the Revolutionary Government of Zanzibar, Burhan Saadat Haji and Deputy Minister for Foreign Affairs and International Cooperation Ambassador Seif Idd.


  [​IMG]
   
 8. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Waziri Mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Pinda, Ameichangia jumuiya ya watanzania wanaosoma Mjini New Delhi, kiasi cha Dola ELFU MBILI za kimarekani kwa ajili ya kusaidia na kukuza Jumuiya hiyo yenye wanachama takribani Arobaini na Watano wanaosoma vyuo mbalimbali mjini hapa.

  Mheshimiwa Waziri Mkuu amesema ametoa mchango huo ili kusaidia jumuiya kuendeleza ushirikiano wao na kuwasisistiza kuishi kwa mshikamano na kupendana kwani ndiyo utamaduni wa watanzania na kuwasisistiza kujivunia utaifa na nchi yao.

  Waziri Mkuu huyo ambaye yuko katika ziara ya kikazi ya siku Nne nchini INDIA, alipata fursa ya kukutana na wanajumuiya hao ambao walihoji maswali mbalimbali juu ya mikakati ya serikali katika maendeleo ya watu wa Tanzania na nchi kwa ujumla sambamba na masuala ya Ufisadi ambayo yamekuwa yakiimbwa kila kukicha.

  Hata hivyo Waziri PINDA aliwahakikishia wanajumuiya hao kuwa , Serikali inafanya kila inalowezekana kuhakikisha Nchi inasonga mbele na wananchi wanakombolewa kutokana na matatizo mbalimbali, na kuwataka wanajumuiya hao kusoma kwa bidii na kurudi nyumbani kujenga nchi na kuongeza yeye binafsi pia anawapa hamasa watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi kwani amekiri kuwepo kwa manufaa ya raia wa nchi nyingine kufanya kazi nchi nyingine.

  Waziri Pinda, pia alisisitiza mshikamamo na umoja kwa jumuiya hiyo na kusema kuwa, Umoja huo unasaidia kuwaleta Watanzania karibu, na kuondokana na upweke wa kuishi mmoja mmoja na kusisitiza kuimarishwa kwake ,na kuongeza kuwa inatia moyo na faraja kwa viongozi wa nchi wanapotembelea na kukutana na wanajumuiya na kusikiliza maoni na ushauri mbalimbali wa kujenga nchi.

  Kwa upande wa wanajumuiya hiyo, baadhi walihoji ,ni vipi serikali imejipanga katika suala la kuhakikisha unafuu wa gharama za mawasiliano na usalama baada ya mtambo wa kusambaza mawasiliano wa FIBRE utakapo kamili , huku wengine wakitoa mashaka yao kwa serikali kwa namna inavyoshughulikia mikataba feki ya uwekezaji wakitolea mfano ule wa TRL na ule wa ATCL sambamba na suala la kuwa na kiwanja cha ndege cha kisasa na usalama wa mali za watu kwenye bandari na uwanja wa ndege.

  Pamoja na mambo mbalimbali ya kujenga na kuishauri serikali ambapo Waziri Mkuu Pinda aliwatoa hofu wanajumuiya hao kuwa serikali yao iko makini na inahakikisha inafanya kila linalowezekana kurekebisha pale ilipokosea na kwamba ipo siku Tanzania itafanikiwa kama nchi nyingine katika nyanja mbalimbali kwani serikali hiyo ya CCM inania ya dhati ya kueleta maendeleo kwa wananchi wake.

  Mheshimiwa Waziri Mkuu Pinda, Mbali na kuambatana na Mkewe mama Tunu Pinda, pia alifuatana na baadhi ya mawaziri na manaibu waziri wa wizara mbalimbali, pamoja na viongozi kadhaa wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
   
Loading...