Kuna njia ya kupita kwa mguu na kuna njia ya kuvuka baharini...Habarini wanajamvi! Nina swali ndugu zangu;
Hivi wakati wana Israel wanaenda Misri walipita wapi ambapo hawakuvuka bahari ? Na ikawaje wakati wanarudi wakatakiwa kuvuka bahari?
Hawakuwa wakienda kwa akili zao.walikua wanaelekezwa na Mungu kwa wingu,usiku nguzo ya moto.nae Mungu alikua ana kusudi kwanini awapitishie njia hizo..Nikiangalia hii ramani naona kama haikuwepo sababu ya wao kuelekea bahari ya sham wakati canaan iko karibu sana kwa mwendo wa nchi kavu View attachment 1637295
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us