Safari ya Tanga Dec.28-30

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,159
Nimeingia leo nimekutana na hii habari. Ni njema sana na ninapenda kusema kuwa nitakuwepo pamoja na wataokuwepo.,
Kama inawezekana wahusika wakuu watoe updates na kwenye email incase uwezo wa kuingia humu utakosekana kwa wengine.
Ahsanteni sana
kaby,
 
Utaondokea Dar au Arusha?
 
Pamoja sana...kuhusu e-mail noted...
Jitahidi kuingia jamvini, usisubiri Birthday yako tu!....utapitwa na mambo mazuri.
 
Back
Top Bottom