Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,403
China itakua inanunua 40% ya maparachichi ya Kenya, majirani wenye akili watumie fursa hii kusafirisha ya kwao kwa mgongo wa Kenya kama ilivyo kwa vitu vingine vyote maana wao kujitafutia soko ni shida, leteni vya kwenu tunaandika vimetoka Kenya kisha tunaongeza cha kwetu juu na moja kwa moja vinapata soko.
Ndio uzuri wa kuwa mjanja na kwenye kutumia ubongo dunia hii, hauwezi ukabarikiwa na kila kitu, kule nje hakutaki ze ze ze yaani lazima ujue jinsi ya kujieleza na kucheza hizi karata.

Wachina ni zaidi ya bilioni moja, aisei soko lote hilo yaani hongera sana rais Uhuru, mbele kwa mbele ikumbukwe kwa maua tu uchumi wetu umeongoza ukanda wote huu na leo unakua kwa 6.3% sasa hapa kwa maparachchi na bado wapo mezani...
------------------------------
The avocado export deal signed, makes China one of the largest importers of the fruit
It is estimated that when the agreement is fully implemented, the Chinese market will absorb over 40 per cent of Kenya’s avocado produce, making it one of the largest importers of the fruit. Other famous destinations of Kenyan avocado include Europe and the US

https://www.nation.co.ke/video/news/4146788-5087884-leudqz/index.html
 
Asilimia 70% ya maparachichi Kenya wananunua Tanzania. Wao Hali ya hewa na mashamba machache
 
Hapa bongo wachina walisaini mkataba wa kununua mihogo mpk leo ni bila bila.

Bila bila? Bongo tatizo ni uongozi

Kuna mwana alifuatilia sana hili yaani kila sehemua akienda its like hawajua nini kinaendelea

Mpaka anayehusika na zao lamhogo mwenyewe hajui nini kinaendelea

Mwanangu mmoja alifuatilia mpaka kachoka
 
China itakua inanunua 40% ya maparachichi ya Kenya, majirani wenye akili watumie fursa hii kusafirisha ya kwao kwa mgongo wa Kenya kama ilivyo kwa vitu vingine vyote maana wao kujitafutia soko ni shida, leteni vya kwenu tunaandika vimetoka Kenya kisha tunaongeza cha kwetu juu na moja kwa moja vinapata soko.
Ndio uzuri wa kuwa mjanja na kwenye kutumia ubongo dunia hii, hauwezi ukabarikiwa na kila kitu, kule nje hakutaki ze ze ze yaani lazima ujue jinsi ya kujieleza na kucheza hizi karata.

Wachina ni zaidi ya bilioni moja, aisei soko lote hilo yaani hongera sana rais Uhuru, mbele kwa mbele ikumbukwe kwa maua tu uchumi wetu umeongoza ukanda wote huu na leo unakua kwa 6.3% sasa hapa kwa maparachchi na bado wapo mezani...
------------------------------
The avocado export deal signed, makes China one of the largest importers of the fruit
It is estimated that when the agreement is fully implemented, the Chinese market will absorb over 40 per cent of Kenya’s avocado produce, making it one of the largest importers of the fruit. Other famous destinations of Kenyan avocado include Europe and the US

https://www.nation.co.ke/video/news/4146788-5087884-leudqz/index.html

Safi sana
Mkuye kwetu myanunue huku kwetu yanaozea shambani
Ujirani mwema
 
Msiwachukulie wavimba macho ni wajinga... Wanaenda kuyafanyia featuring baada ya miaka 10 Kenya hakuna tena hayo matunda na yatakuwa yanatoka china
 
Back
Top Bottom