Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa, Marin Hassan Marine, Alianzisha Jambo TZ na Ameacha Alama ya TBC Aridhio

K
RIP, kile kibesi chake burudani sana.Jamaa hakupewa hata udc pamoja na kupamba vile Safari ya Dodoma.Somo kwetu tumtumainie na kumtukuza Muumba pekee si wanadamu wenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli katika hili mamlaka hazikumtendea haki Yani patrobas katambi unampa udc Marine hata kumelevet aiseeee TBC laana ya Marine itawala na CCM yenu.
 
Wanabodi,
Wale wenye nafasi, unganeni nami kupitia TBC Live kuangazia Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa nchini Tanzania, Mtangazaji wa TBC, Marin Hassan Marine, aliyefariki jana asubuhi kwenye hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam.

Marin Hassan Marine ndiye aliyeanzisha kipindi cha Jambo TZ, Safari ya Dodoma, Nyumba ya Jirani na ameacha alama kubwa kabisa ya kipindi kipya cha TBC Aridhio.
Tulimpenda Marin Hassan Marin, Mungu amempenda zaidi.
RIP Marin Hassan Marin
Paskali

Paskali
Marine Hassan Marine, leo asubuhi, amekumbukwa mahali humu jf.
Nami ningepata nafasi ya kupendekeza na huyo mpendekezwa wangu kama angekuwa bado yu hai ningemtaja Marin Hassan Marin. Mola amuhifadhi huko alipo.
RIP Marine Hassan Marine, angekuwa hai, saa hizi angekuwa ...
P.
 
Namkumbuka marehemu kwenye mkutano wa chama kimoja cha siasa
Pale jangwani...
Anyway apumzike kunako stahili

Ova
 
Wanabodi,
Wale wenye nafasi, unganeni nami kupitia TBC Live kuangazia Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa nchini Tanzania, Mtangazaji wa TBC, Marin Hassan Marine, aliyefariki jana asubuhi kwenye hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam.

Marin Hassan Marine ndiye aliyeanzisha kipindi cha Jambo TZ, Safari ya Dodoma, Nyumba ya Jirani na ameacha alama kubwa kabisa ya kipindi kipya cha TBC Aridhio.

Tulimpenda Marin Hassan Marin, Mungu amempenda zaidi.
RIP Marin Hassan Marin
Paskali

Paskali
Rejea
Mwandishi ni Mtangazaji wa zamani wa External Service ya RTD.
Mabandiko mengine ya mwandishi kuhusu Watangazaji wa iliyokuwa RTD
P
 
Back
Top Bottom