Safari ya mwisho(Mazishi) ya msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla)

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
267,477
1,091,054
Mwili wa aliyekuwa rapa maarufu Bongo, Golden Mbunda "Godzilla" umewasili nyumbani kwao Salasala na kupelekwa kanisani kwa ajili ya ibada ambapo baadaye utaagwa na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni, Dar.
51810483_116513382780413_6854312590449308288_n.jpg
 
Nitampa Mama Mzazi wa Godzilla Milioni Tano, nitampa Fid Q ailete kwa Mama Jumatano ili imsaidie kuendelea kuwatunza Wajukuu na kumsaidia kufanya kile alichopanga baada ya kutumia Pesa kwa ajili ya Matibabu ya Godzilla": Mh Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
 
Muzee wa kiki za pikipiki,akiwa mzima hakuweza kumsaidia
Nitampa Mama Mzazi wa Godzilla Milioni Tano, nitampa Fid Q ailete kwa Mama Jumatano ili imsaidie kuendelea kuwatunza Wajukuu na kumsaidia kufanya kile alichopanga baada ya kutumia Pesa kwa ajili ya Matibabu ya Godzilla": Mh Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom