Labda ngiri wa Dar.Wacha kupotosha watu, ngiri anaua hata chui sembuse binadamu? Usifananishe ngiri na nguruwe wa kufugwa Kijana.
Kwa hiyo unabishana?Badili heading
Sa hivi technology inabadili kila kitu sa hivi ili uwe sehemu ya jamii lazima uwe kwenye social media kama facebook, insta nk bila ivyo utakuwa mpweke na metaverse ikija itakuwa balaayani nimegundua zamani ndo kulikuwa na stori ..maisha ya siku hizi sjui tutakuja kuwasimulia nini wajukuu zetu.. au tunawasimulia ya kina mwijaku na spiderman wa bongo?
nakumbuka zamani wakati hamna tv wala umeme baada ya msosi mnakaa na bimkubwa anawasimulia stori za mwanakijiji flani kauliwa na simba akiwa anaenda kijiji Z wakati akisafiri kupeleka dagaa mnadani kwa baiskeli over 100kms..stori za flani kufyekwa na maji ya mto..siku hizi mzazi smartphone, mtoto yupo kwenye playstation.
Fursa zipo tafuta shamba ufuge mifugo(kuku, ng'ombe wa maziwa,samaki nk),then unauza Mlandizi na Dar es salaam.Hii Barabara ina Fursa yeyote jamani.
Ahsante.Fursa zipo tafuta shamba ufuge mifugo(kuku, ng'ombe wa maziwa,samaki nk),then unauza Mlandizi na Dar es salaam.
Vilevile unaweza kulima minazi,minazi Ni biashara kubwa iliyosahaulika.
Tembelea page za mitandao ya kijamii ya Vitabu vya Kilimo ujifunze zaidi.
ngiri muoga sana..akiona mtu anakimbia.
labda mliona kiboko nyie