SoC01 Safari ya miaka 7 katika uraibu wa filamu za ngono

Stories of Change - 2021 Competition

longi mapexa

JF-Expert Member
Jul 18, 2015
3,197
3,994
Habari Natumaini upo na Uzima.

Basi tumshukuru Mungu kwa hilo. Lakini kama Pia haupo sawa amini kwamba wakati wako Utafika tu.

Bila kupoteza wakati acha nikushirikishe mkasa huu ulionipata na namna nilifanikiwa kujitoa Katika Uraibu wa Machapisho, Picha na Video za Ngono kwa Miaka 7.

Nikiwa na umri mdogo tu wa kati ya 14 au 15 nilijikuta kwa mara ya kwanza natazama picha ya mwanamke akiwa Uchi kabisa. Hii ni baada kupekua simu ya Kaka yangu aliyokuwa kaiweka katika chaji japo Akili yangu ilibadilika nikapatwa na mshangao uliochanganyikana na uwoga kwa haraka nilirudisha simu kisha nikaendelea na mambo mengine.

Ajabu ni kuwa picha ile ilizidi kujirudia kichwani mwangu zaidi na zaidi. Hali hii ilinipelekea kutamani kuziona tena.
Wakati mwingine ulipofika nikajaribu bahati yangu Na kwa hakika nilifanikiwa. Tofauti na wakati uliopita, sikutazama moja tu bali nilikutana na nyingine nyingi sana. Huu ukawa mwanzo wa mimi kupenda picha za wanawake walio uchi kila wakati nikipata nafasi nikawa nazitazama.

Miezi michache mbele nilifanikiwa kumiliki simu najua utashanga. Sikununua nilipewa palepale nyumbani nadiriki kusema kwamba kwa hili familia ilikosea sana. Japo Simu haikua simu janja ila ilikuwa na sehemu ya Intaneti nafkiri kasi ya mtandao ilikuwa ni 2G Hapa nilianza kutumia Google kusearch maneno yoyote yenye kuashiria habari za ngono.

Nayo Google ikanipatia kila nililolitafuta Ikiwa ni pamoja na Simulizi za ngono, Picha na sasa nikaanza hata kupakua video japo ilichukuwa muda mrefu kulingana na kasi ya mtandao.

Wakati wa usiku ndio niliutumia kwani hakukuwa na yeyote wakunishika wala kuniona. Sikupenda usingizi tena nilipenda kutazama ngono kila wakati.

Hii ilifanya wakati mwingine hata mama kukaribia kunikamata. Nakumbuka Mama yangu aliwahi kukuta picha niliyochora kwa penseli japo picha ile ilikuwa ni Ya Ngono kwa asilimia zote. Nilizikana sana ila nafahamu mama alijua tu mwanae nshaharibikiwa.

Shuleni matokeo yakaanza kuporomoka. Nilazima ingekuwa hivyo kwani usiku wote nilikesha mitandaoni. Wakati wa kuamka mimi ndo naanza kulala.

Najivunia kwamba Nikipindi hicho hicho ndicho ambacho nilibahatika kujiunga pia na JamiiForums.

Nilifanya mtihani wa kidato cha nne kinyume na matarajio ya familia nilifanya vibaya sana japo nilifanikiwa pia kwenda kidato cha tano. Lakini nililaumiwa sana kwa kufanya uzembe nilifahamu wapi chanzo cha tatizo lilipo hivyo nilijiapiza kubadilika.

Maisha ya High school Yalinisaidia kupunguza uraibu kwani sikuweza tena kupata simu... Tatizo ni kwamba zile picha nilizozitazama bado zilikuwa zimehifadhiwa kichwani zikijirudia hata kwa njia ya ndoto.

Mfumo wa maisha yangu Ya uraibu ulikuwa ukiendelea pindi napokuwa likizo kwa kuhakikisha kuwa nakata kiu ya uteja wangu.

Miaka ikasogea nikamaliza Kidato cha sita Namshkuru Mungu matokeo yalikuwa mazuri hii ikafanya hata nyumbani wanipumzishe kunisemaa.

Nilipata nafasi ya kujiunga na chuo fulani maarufu hapa Dar es Salaam kwa Kozi ya miaka mitatu. Nikamiliki simu janja Yenye kasi ya 4G Hapa nilibadilika nakujikita rasmi kwenye Uraibu nikawa Porn hunter natazama napakua nahifadhi hata nikaamua kujiunga kwenye porn sites mbalimbali Nilifahamu Porn Stars wengi Hata wakitumika kwenye Memes ilikua rahisi kwangu kuwafahamu.

Sio Tanzania tu bali duniani Kote.
Nilianza kuchagua mpaka aina ya video hatari kubwa ni kuwa kila siku nilikesha kutafuta video za kusisimua zaidi kwani ilifika hatua nikawa sisisimuki kwa baadhi ya video. Mpaka muda huo sikuwa nimewahi kushiriki tendo lenyewe kwa uhalisia.

Maisha ya uhuru chuoni nilijikuta katika uhusiano na binti fulani. Lakini kwa bahati mbaya haukudumu. Sikuwa na tabia za kupendeza nilitaka kuishi na binti yule kama Pornstars wafanyavyo katika videos nilichojali ni ngono hakuna mazungumzo hakuna kubembeleza nilichotaka ni kufanya ngono kadri muda unavyoruhusu Hostel Chuo Barabarani popote kila nikimtazama naona ngono tu. Maskini binti yule hakuyaweza hayo.

Sikujali sana kuhusu mahusiano kwani wapenzi wangu wako kwenye simu nawaona mda wowote nikiwahitaji na wanafanya kile nachotegemea kuona wakifanya. Sikufahamu kwamba nimepoteza Ufahamu wa kawaida.

Miezi ikazidi kusonga lakini tofauti na vijana wengine mimi sikuwa natesekea mahusiano, Sikupenda habari za mapenzi nilikuwa bingwa wa majibu machafu. Kwanini nikasumbuane na wasichana ambao hawafanani na wanawake waliopo kwatika simu yangu.

Kiukweli sikuwa na heshima kwa wadada niliwafokea sikutaka wanizoee wengine niliwaona kabisa wakiumia lakini ningefanyaje?

Kuna wakati Ndani yangu nilihisi nina hatia. Ukweli sikuwa najiamini hivyo nilifanya yote hayo kukinga ukosoaji ni vipi wakigundua tabia yangu ya sirini?

Kila nikiwa kanisani mahubiri yalinichoma. Ajabu wakati wote baada ya kutazama videos nilijiapiza kutokuziangalia tena nikaweka mpaka nadhiri mbele za Bwana Nikaandika tarehe na kuzisaini kabisa kwa vitabu nikajaribu mpaka kufunga na maombi lakini wapi. Niliishia kuteleza na kurudia uteja wangu tena kwa kasi zaidi Kwanini?

Kwa sababu Video na picha za ngono ni tofauti na vilevi ama madwa ya kulevya ambavyo vinahitaji Fedha pia Upatkanaji wake ni mgumu pamoja na Usiri. Ukilewa kila mtu atafahamu. Ila kwa upande wa Porn materials unazipata kwa urahisi bila mtu kufahamu tena kwa uhakika kabisaa. Mtandao unaweza kuwa chini lakini kwenye Pornsites unaperuzi bila shida kabisa.

Namshukuru Mungu mimi ninapenda kujisomea vitabu kupitia hapa nilianza kusoma namna ya kujikwamua kwani Hatia ilinizidia. Njia nilizozipata kupitia vitabu nilianza kuzitumia japo kila wakati nilianguka, Sikukata tamaa kwani niliona nikiwa napunguza kasi ya kutazama mitandao hiyo.

Baada ya muda niliingia katika uhusiano mwingine sijui ilikuaje lakini moyo ulikuwa dhaifu kwa binti yule nilimpenda. Muda mwingi nikatumia kumuona kama malaika wakuniondoa katika janga lile aliweza vumilia ujinga wangu wote hata nikaona napaswa kubadilika.

Ni kweli nilijikuta napunguza muda wa kupita kwenye Porn webs mpaka atleast mara moja kwa Wiki hapa ilikua ni kipindi ambacho yeye anakuwa hayupo na mimi.

Taratiibu nikawa na imarika nikiteleza basi inakuwa ni bahati mbaya tu umepita mtandaoni unakutana nazo(Hii mpaka sasa ni changamoto)

Nilimaliza Chuo lakini uhusiano ukiwa imara sana nampenda Sana binti huyu Siwafikirii tena Pornstars. Kwa sasa Nafikiria namna gani nitaokoa vijana wenzangu.

Ikiwezekana Siku moja nitoke hadharani nishuhudie ili walio dhaifu wapate nguvu kupitia mimi.

Kiukweli madhara ya machapisho Video na picha za ngono naziona mpaka sasa japo nimestaafu kabisa lakini picha zile bado zipo kichwani hata baadhi ya mambo nayoyapenda kitandani ni matokeo ya janga lile.

Kwa sasa nimejitengenezea mpango wa kusafisha mawazo yangu kama ikiwezekana nizisahau kabisa.

Nimalize kwa kusema Kuwa huru kutoka kwenye uraibu wa picha video na machapisho ya Ngono inawezekana.

Chukua hatua madhubuti kwani Ubongo wako ni muhimu sana kwa kuwa huo ndio unaokufanya uwe Wewe. Wewe ni matokeo ya ubongo wako.

Kuna msemo unasema " Kila mtu ana majitu makubwa mawili moja baya moja zuri na siku zote huwa yana pigana Je! wewe unadhani ni yupi atakayeshinda? Atakayeshinda ni yule unaye mlisha" Mungu akubariki!

Njia Nilizotumia.
♡ Nimekuwa nikitafuta maarifa zaidi kuhusu imani yangu na uhusiano na Mungu.
♡ Nimetoa kipaumbele sana kwenye mambo mengine nayopenda tofauti na kazi Kama kupiga Gitaa na Kuchora.
♡ Kwa namna yoyote nimekuwa nikikwepa kukaa mwenyewe kwa muda mrefu.
♡ Kila mara nina utaratibu wa kupitia mabandiko yanayohusu madhara ya Video picha na mabandiko ya ngono ( ukitaka kuua mbwa mpe jina baya ).
♡ Nimemshirikisha mwenza wangu changamoto hii hivyo amekuwa masaada kwangu.
♡ Nimetengeneza ratiba inayoeleweka isiyotoa nafasi ya kuingiza wazo la kutazama Porn sites
kila napofikiria kufanya hivyo nabadili haraka wazo hilo.
♡ Mwisho nilipakuwa App fulani inayofungia picha video ama tangazo lolote la ngono kunifikia.
♡ Simu siweki password ama pattern yeyote akiingia kwa simu yuko huru hii inakuwa kama ulinzi kwamba ukikutwa na porn video ni aibu na sipo tayari kuaibika.

Kila la Kheri.
 
Swala ni kujicontrol na ukiweza kujicontrol sio uraibu tena, self guilty unayoipata baada ya hilo tendo mara nyingi huchangiwa na mitizamo ya kiimani, ila kuna imani nyingine zinaamini nyeto ni tendo salama na njia bora ya mwanaume kuujua uanaume wake.
Kwa mfano Taoist wao hutumia tendo hilo kuwafundisha vijana wanaobalehe namna ya kuweza kuzitambua hisia zao na kuzicontrol, yaani kuna namna ukiitumia nyeto unaweza kujifunza jinsi ya kucontrol misuli ya uume ili uweze kuzuia bao linapotaka kutoka mapema. Ukimaster hili unaweza kucontrol mshindo kwa kutumia akili tu yaani unaweza kufanya mapenzi hata masaa 6 bila kukojoa (ila zoezi hili halihusishi porno au material yoyote ya design hiyo just your mental imagination of the real woman you like around your society).
Ni kama hadithi ila ni mambo yapo japo yanahitaji mafunzo na umakini wa hali ya juu sana.
Hii siri nawaibia, ukipiga nyeto on reverse way yaani mkono kutoka nyuma kwenda mbele kwenye kichwa kidogo ni njia safi na salama ya kuongeza girth/unene wa dushe.
ONYO: kuna vitu kwanza unapaswa kuvijua namna ya kufanya hili zoezi, maandalizi, round ngapi, nini ufanye baada ya kumaliza na sharti mpaka unamaliza usikojoe wala dushe lisikaze, ni somo refu hivyo usikurupuke ukajikuta umeharibu mambo kabisa
Mkuu una uhakika kwa unachosema.
 
Ulifanya kosa kuanza kuangalia ukiwa na umri wa miaka 15,ndo maana wanasema 18+
 
Afadhari wewe, mwenzio nilikuwa nchi flan hukooo majuu, hizi TV station hizo ikifika saa 6 usiku channel za porno zinatunguliwa. Ukumbuke niliishaharibika ubongo nikiwa bongo,kama unavyosema ni Siri sana MTU hakuna MTU alijua tabia ya porno.

Nikiwa ughaibuni nilitafuta Malaya wa huko, bado tabia Ile nilikuwa nayo, nilijitafuutia sehemu Ili niondokane na tabia nisimalize BAO Moja, nikawaida yangu Sana kujichua kwanza, nilijitafutia mtoto mmoja mkali namuweka akilini naanza naye.. badae nikikutana na kimwana, nasugua balaa bila BAO, na hii ilinisaidia kumchosha mwanzengu, Kwa sababu nilikuwa pornstar kivyangu, nilijijua, nakumbuka mbegu zikiisha najua na hamu Imekata,Nikizidisha damu itatoka. Nilijichua kama viwili Hadi vitatu.. mashine imepata michubuko Sana.

Haikuishia hapo nilihamia kuangalia za wanyama kama tembo.

Niliishaumia zaidi ubongo nikawa natafuta midushe mikubwa, ya mijitu Ile ya kuwekeza Pete, nikahamia kuangalia za wanyama, tembo, Punda ndio usiseme. Ng'ombe, baadae nikatafuta video za mbwa.

Watu wanasema zinamadhara, for ur own risky Niko poa iam 52 mwili uko vema... Lkn niliharibika zaidi Kwa zile artificial insemination wale wanawake wanaoishika mashine ya ngombe ili kuvuna sperm za madume, nikawaona nao wanafaa najichua nao

Cha muhimu usijaribu kuiga kitu chochote live your life.

Serious bad experience in life, hata usipende kutoa mawazo ya maombi, hapo hayafanyikazi, ni ugonjwa mbaya Sana.
 
HUU NI USHUHUDA WANGU KABISA KUPITIA HUU UZI NA TUMELANDANA SANA EXCEPT MADHARA URAIBU WA PICHA ZA NGONO NA KUJICHUA ULISABABISHA NIKA DISCO CHUO.

Nilianza kuangalia picha za ngono na kujichua katika umri mdogo sana na mimi nakumbuka nilikuwa exposed siku moja nilitoka na mabraza nakwenda kwenye banda la video ndipo kwa mara ya kwanza niliona picha za ngono na kuanzia pale nikawa kila ninavyozidi kukuwa nakuwa nagundua njia za kuweza kupata picha za ngono na hatimae nikaja kujua kitendo cha kujichua nakujipa raha kupitia kuangalia DVD kwa kuzikodisha kwa wakati wa nyuma kidogo kabla ya kuja flash na external ilikuwa kuna maduka ya kukodisha DVD mwny nikawa nakodisha DVD za ngono na kuziangalia wakati wa usiku na ikafka mahali nikawa naenda pale ubungo songas kwa atakae kuwa anakumbuka kulianzishwa soko karb kbs na mitambo ya kufua umeme basi nikawa nikinunua dvd zangu pale na kuzihifadh... Miaka ikazid kwenda nikahamia kwny matumizi ya simu na kuangalia video za muziki za wasanii wa njee km mariah carey, na baadhi ya miziki yenye wadada walio kaa uchi bas ilikuwa fursa kwng ya kuwavutia hisia na kujichua... Niliendelea na tabia yang ikapelekea matokeo mabaya ya form four lkn nkaweza kujiunga na five na six lkn sikuwa nimeacha tabia yangu ya kuangia picha za ngono na kujichua nilipata sana internal conflict ya kiroho hasa baada ya kuanza kusikia juu ya madhara ya kupiga punyeto nikawa najitahid kujizuia kwa muda hata wa miez miwili au mitatu lakn nikijakurudia ninakuwa naangalia zaidi ya hata ya kipindi ninaamua kuacha....kipindi namaliza formsix nakumbka kuna kifurushi kilikuwa muda wa usiku kuanzia saa6 unatumia internet bure mpaka asubuh hichi ndo kipindi niliweza kuzijua website zote za ngono kwa kuwa nilikuwa silali bali nakesha kiasi kwamba kuna kipindi nikawa nadoji hata vipindi kwa kuwa ninachelewa kulala....
Mungu mkubwa nkaja nkamaliza formsix na nkabatika kujiunga chuo hali yangu haikuishia hapo nikawa naendleza km kawa..kukua kwa tecnologia kukasababisha nipate smartphone na nkagundua jinsi ya kuangalia online bila kudownload kwa kweli iliniadhiri sana kias kwmba kuna kipindi niliacha had kutumia smartphone ikiwa n njia ya kufanya niache lkn wap haikusaidia nilikuja nilijitahid nianzishe mahusiano lkn wap hayakudumu na mwisho wa siku niliachana na huyo mtu kwa kuwa sipati the level of satisfaction napata nikiangalia ngono... Ilipelekea kipindi flani nikapata depression ambyo ilikuwa mbaya sana cuz nakumbuka ilisababisha matokeo yangu ya chuo pia kuwa mabaya na bila kuficha nili DISCO...sikuwa nikijua kuwa punyeto na picha za ngono ndo sababu mpaka nilivoendlea kukaa na kuratibu kujua nilikosea wap kupelekea ku disco lkn nlikuja kugundua ni tabia nilizozifanya kwa siri zilinichosha kiasi cha kutotamani kufanya kitu na akili ilikuwa ikihitaj na mwili ukichoka basi siwezi kufnya mambo mengine....
Ilibidi nijitafakari sana lkn haikuwa ndo nimeacha nikawa naendlea na uraibu wa picha za ngono na kujichua. Nimeanzisha mahusiano mengi sana yaweze kunisaidia lkn sikuwah kufanikiwa kwasbabu nimetaka sana kujisaidia kwa siri bila kumshirikisha mtu ndio maana leo hii nimeandika na mimi kupitia uzi huu kuonyesha jinsi gani kuna vijana wengi tupo na uraibu na ni kwa kiasi gani umeleta madhara katika maisha yetu unaweza usione madhara moja kwa moja lakin embu chukua mda na ujitafakari katika baadhi ya kushindwa mambo yako utagundua ni kutokan na uraibu wa picha za ngono na kujichua....
Binadamu unaanguka na kuinuka pia sikukata tamaa nilikuja kujitahidi baada ya kugundua madhaifu yang na nkarudi chuo na hatimaye nkamaliza lakn uraibu wa picha za ngono na kujichua ulikuwepo kutokana na kuwepo picha za wanawake wacheza picha za ngono na vitendo vyote vipo akilini kwangu kwahiyo inanipa wakati mgumu sana kuacha kwa kuwa ntarudia tu.. Sijawahi kushare na mtu ajue kwasababu ni tabia ya aibu lakin pia na ninaona hakuna budi kuacha kuionea tabia yangu aibu level ya madhara ya kimwili na kisaikolojia imetosha na sidhani kama kuna kitu nahitaji kama kuacha kabisa na nikitamani ile siku ya kwanza kujua nisingejua kabsa picha za ngono labd madhara yote yasingenipata....
Nia ya kuandika n kumualart anayetaka kuanza au ambae bado anaendlea ajue kwamba picha za ngono n mind fantasy and body madhara yake hautakuja kuona furaha na utamu wanaoishi vijana wenzako.. Kuna haja ya kuanzisha movement itakayo linda vijana wengi cuz hatujui n wangapi wanateseka na hawasemi kwa kuwa tunaona picha za ngono ni sawa lakini its something that makes a billions of money kwa anaetengeneza picha za ngono mimi ninaweza kusema PORNOGRAPHY IS A NEW DRUG... Wamepita akina PABLO ESCOBAR na sasa ivi atakuja kuibuka drug dealer lakn yeye atakuwa ameuza sana PORNOGRAPHY mark my words.... Vijana tuwe aware zaidi picha za ngono na kujichua n hatari sana
 
Mhhh pole mi nanyetuka ila sijafikia level hiyo
 
Back
Top Bottom