Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,089
siku hiyo Kolomije alikuwa maeneo ya karibu tena na escort kali ya gari nyingi masaa machache Nissan nyeupe ilichomwa moto maeneo ya Morogoro na Kolomije kumbe yupo Dar na si DodomaSasa tunaweza kujikumbusha na kujua nani alikuwa nyuma ya shambulizi hili.
eti camera hazioneshi na watoto wa vijiweni walioshuhudia walisambaratishwa
hakuna upelelezi mpaka dereva aonekane kwanza
kitengo kile wameondolewa lakini ndio wanajionesha taratibu Damu ya Mtu itanena