Safari ya kwanza ya treni ya umeme kufanyika Novemba 2019

Kwa hiyo taratibu zamikataba hazizingatiwi tena mnajali kufungua oct ili mshinde uchaguzi?

Mvua mwaka jana zilianza Sept. Kama ni kuchelewa alingechelewa kwa miezi miwili au 3. Mvua zimeacha kunyesha tangu April. Kwa nn reli haikamiliki?

Na vp ile treni ya wonyeshi Dsm to Moshi(Arusha?)..bado inafanya kazi? Au ni hadi Oct ndipo mkapige nayo picha tena pale Moshi?

Mwaka huu kulikuwa na mvua nyingi sana usiwe na wasi wasi haihusiani na mambo ya uchaguzi ndio sababu mkandarasi alisogea mbele. JPM anaibadili tanzania kuwa shindani kwenye kanda hii. Tupo pazuri Hapa Kazi TU!
 
Fyuuuuu
 
Wishful thinking tu
 
Back
Top Bottom