Safari ya Kuelekea Makao makuu, Dodoma

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
876
923
Aisee! Serikali karibu yote muda huu ipo njiani kuelekea #Dodoma ukitaka kuthibitisha hili simama Morogoro Road muda wa jioni hadi sasa ujionee mwenyewe jinsi ambavyo STK, STL, DFP, W, NW nk. Zinavyofukuzana kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma Niamini mimi Serikali iko njiani muda huu!

Safari ya Dodoma inawatesa sana Watumishi wa Umma, sasa wamekuwa wakimbizi wa majiji mawili (Dar & Dom). Starehe ziko Dar, Mke Dar, watoto Dar, Matamko Dar, Ofisi Dom. Ona mambo yalivyo magumu kwa hawa watu.
........
KIBWAGIZO; Wazee Chamwino vipi huko? Maana naona Magogoni imegeuka National Park!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata jiwe halijaweza kuhamia Dom mpaka sasa bado naona mambo mengi yanafanyika pale ufukweni.
 
Poleni / Hongereni kwa mnaohama, Nendeni mkajenge makao makuu ya Taifa letu pendwa.
 
Hata jiwe halijaweza kuhamia Dom mpaka sasa bado naona mambo mengi yanafanyika pale ufukweni.
Dar hapahamishiki mkuu, si umeona mpaka barabara ya ocean pale jirani na black house tumepaita VIWANJA VYA IKULU!!
 
Back
Top Bottom