Cheef Baroka
JF-Expert Member
- Apr 28, 2019
- 491
- 1,000
Sasa Drc wakishagunduwa kuwa wewe sio mwenyeji utapigwa mkwara balaa. Kuna safari nyingine nilikuwa nimepeleka mchele (yenyewe ilikuwa safari ya gari tulienda kwa roli la mizigo) sasa kufika sehem tulipoegesha ikabidi nizunguke nyuma ya gari nikakoja. Duh! Kakaja kadogo flani ivi kakanisalimia kakaniuliza papaa unakoyola ?Hhaahha nimesoma huku nacheka jamani!..hahaha...kulostishana balaa...! Biashara bila kuwa na roho ya kibabe jamani ngumu sana sana kutoka...!
Mie kiasili huwa mpole sana...yaan soft sana nimekuja gundua watu wananipiga as mie mpole...! Yaan wanatumia huruma nilonayo kuniumiza! Yaani unaweza kufa kwa presha jamani...nimekuwa mtataaa!
Nikaleta u tz nikakaambia Dogo achana namm mi sijakojoa bane, kumbe kameshanipiga hadi picha kakanionesha papaa iko me nakwambia umekoyola unaleta bhukaramushi ona huyu ni Nan? Sasa napeleka ku bha sodaa (askari) waje kamata wewe ku biloo(jela). Duh! Nikawa mpole ikabidi nikape mchele kidogo tumalizane
Sent using Jamii Forums mobile app