Safari ya jumbe japan yaiva! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari ya jumbe japan yaiva!

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 25, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="606">

  </td> <td align="right" width="139">
  </td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">Mwanamuziki wa Bongo anayefanyia kazi zake nchini Japan, Fresh Jumbe, aka Mkuu, ambaye alikuwa nchini kwa ziara ya muziki na shughuli binafsi, leo alifika ofisi za Global Pulishers kwa ajili ya kuaga kabla ya kukwea pipa na kupaa kesho Jumatano kurejea Japan kuendelea na kazi yake ya muziki. Hata hivyo, ameahidi kurejea tena mwezi Mei kwa ajili ya kuanzisha mradi wa studio.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Fresh Jumbe (kushoto) akimpa mkono wa kwaheri Mhariri wa gazeti la Championi Ijumaa, Elius Kambili, katikati ni Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Fresh Jumbe (kushoto) akiwaeleza jambo Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Global Publishers, Richard Manyota (kushoto) na Meneja Mkuu wa Global Publishers.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Jumbe akiingia kwenye Prado iliyomleta ofisini kwetu tayari kuondoka.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ……kwaheri ya kuonana jamani!!.

  </td></tr></tbody></table>
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hawa ma-clown nao..lol
   
Loading...